K kichwapanzi Member Aug 30, 2016 50 23 Feb 19, 2017 #1 Msaaada anayejua chuo kizuri cha veta na pia masomo yanaanza lini. Ni mdogo angu anataka asomee mamba ya umeme
Msaaada anayejua chuo kizuri cha veta na pia masomo yanaanza lini. Ni mdogo angu anataka asomee mamba ya umeme
mligavakali Member Sep 24, 2016 11 3 Feb 19, 2017 #2 Umechelewa sana,watu washaanza kupiga msuli kitambo