Recent content by kichwa buta

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume: Usithubutu kumsomesha mke, mchumba, mpenzi

    Sio kwa wanaume tu...Mimi imenitokea nimemsomesha mwanaume Masters alipomaliza huyo akasepa zake..kaenda kwa wengine...both genders ni tatizo hilo..unajitoa kumsaidia mtu ukijua kuna future kumbe mwenzako Ana lake moyoni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu amenikosea nataka nimuache, nadhani yeye anajua pia ila anajisahaulisha

    Mkuu hivi unaweza kuomba ushauri kumuacha mpenzi wako??maamuzi ni yako ni yako mwenyewe kwani wakati unamtongoza ulikuja Jf kutuomba ushauri ?halafu mi sioni sababu ya msingi ya kumuacha huyo mwanadada..after all unaonekana wewe mbahili sana ...hivi ww ukute mpnz wako hata kipato chochote hata...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aspirin na virusi vya UKIMWI

    Duuuuuuu. .tutauana sana mbona kama ni kweli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

    Aisee kweli unatafuta Incubator???
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ameniweka wazi nia ilikuwa mtoto sio ndoa

    Ila nadhani kuna sababu....haiwekani hivi hivi mwanamke adai talaka without a strong reason...kuna sababu tena kubwa tu..kama ww ni mtu wao wa karibu jaribu kukaa na mmoja moja kila mtu kwa muda wake na pasipo wao kufahamu then utajua tatizo lipo wapi.. Watu tunazitamani ndoa tumechoka kuwa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

    Hahahaha.. Kutumiana tu...kizalishio????
  7. K

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Huwa wanaziita chachandu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Kipindi cha kula apple ..kijana huelewi..
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naikumbuka Songea enzi, tukumbushane

    Songea girls shule yangu..geti kaaliii unaomba ifike jumapili walau muende kanisani pale Roman Catholic walau mkaangalie mji mnunue karanga na mkate..
  10. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya mapacha yanayoanzia na M

    Hahahaha yani nimecheka leo hadi mweehh Jf kuna watu humu ni sheedaa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Nilikuwa mbioni kuagiza Xtrail mwezi December.. Ila naona michango mingi ipo negative kuhusu aina hii ya gari...naombeni ushauri ni gari gani nzuri ya juu ...sitaki hizi ndogondogo
  12. K

    JamiiForums Tanzania Alikufa tar 24/7 na alizaliwa tar 24/7 na zote zikiwa ni Ijumaa

    Daaa Jf humu kuna mambo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kisukuma tunajua kupenda

    Big up kwa wasukuma wote
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Leo atahutubia Taifa Burundi..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kijeshi kumuondoa Rais wa Burundi madarakani

    Amesharudi burundi jamaa kashukia Ruganzo airport ,Ngara ....kapitia Mugoma huyooo Rumandari ...kaenda Ngozi kwao kwanza kashusha pumzi....
Back
Top Bottom