Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

Natafuta msichana wa kuzaa nae mtoto

Basi aliyekuwa anahitaji kama lako hakidhi vigezo vya umri yupo juu ya 43.
 
Hahahaaa hapa jamvini utampata lkn masharti kuzingatiwa ukizingua tu mtoa mada hata mimba hutaionaaa....wanakuja
 
Sasa unashanga nini?alikuwa anasubiria matarumbeta lkn mungu hakujalia amekupata mtoto lkn mtia mimba ndio issue sasa.
 
kuna dada hapa mtaani yeye ni SHEMALE, anatafuta watu kama wewe, ngoja nikupm namba yake
 
Ila uwe makini... hebu weka vigezo vyote wazi watu waonee wajipime wanaweza kupita! Naukapata aseee

Ha ha ha ha ha ha ha!! Vigezo ni kama ifutavyo; Asiwe amevuka 30 years, awe mcha Mungu, Mstaarabu, awe na elimu japo kuanzia diploma, awe na kipato cha kueleweka, awe mzuri wa sura na tabia (maana mtoto anarithi pia kwa mama),mwisho kabisa awe anajitambua!!
 
Asee wamevipata watakuja!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom