next
JF-Expert Member
- Nov 2, 2007
- 604
- 185
'mapato' wa kiume 'matumizi' wa kike
hahaha
'mapato' wa kiume 'matumizi' wa kike
Wa kiume unaweza kumuita Mwita na wa kike unaweza kumuita MwiseSalaam ndugu na jamaa zangu,
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume.
Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.
magoiga wa kiume na madoido wa kike
Salaam ndugu na jamaa zangu,
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume.
Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.
aiseeeemasai dada & Masai kaka.
miss chagga & Mr. chagga.
miss gisenyi & Mr. gisenyi
Moderator & moderatres
masai dada & Masai kaka.
miss chagga & Mr. chagga.
miss gisenyi & Mr. gisenyi
Moderator & moderatres
Mekitilda na Mika
Salaam ndugu na jamaa zangu,
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume.
Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.