everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
hata asiponipikia mimi poa na akafungue mgahawa wake
Asante sana maana utakuwa umeondoa tatizo la Maradhi, Ujinga na Umaskini.
hata asiponipikia mimi poa na akafungue mgahawa wake
Mida Mingne Inabidi Ufanye Kma Unatoa Sadaka Tuu...Usitegmee Fadhila!! May Be Mtoa Maada Ajui Hata Kutoa Sadaka!! Somesha Tuu Kma Upo Vizur Kiuchumi.Insecurities tu. Kama anastahili kwenda shule na uwezo, mpeleke shule. Kama unastahili kuwa nae, utakuwa naye tu, hata wapinzani wawe kina nani.
Inategemea ntu na ntu bana...
Hapana mkuu. Simfahamu kabisaaa.
Ushanifahamu thatha hahahaa
Mida Mingne Inabidi Ufanye Kma Unatoa Sadaka Tuu...Usitegmee Fadhila!! May Be Mtoa Maada Ajui Hata Kutoa Sadaka!! Somesha Tuu Kma Upo Vizur Kiuchumi.
Ushanifahamu thatha hahahaa
Hongera wangu nakuona una pacha siku hizi....