Wanaume wa Kisukuma tunajua kupenda

Wanaume wa Kisukuma tunajua kupenda

kuna watu wanatuita mazoba!!aaaaaaaaaaaaargggg,sio kwel we know how to handl en care a woman......nalemaga gete goyombwa sagala na bhanu bhadododoo.....kifupi tumekamilika mkubal mkatae hata pipe zetuu....wanajua dada zenu

tolesafiii nyanda tolebagosha wale wakima wenahooo
 
ila ni matapeli wa kupindukia sana mko sawa kwenye utapeli mnatapeli hata wakwe zenu hamna hata aibu asieeee
wasukuma tuko vzr mkuu true love iko full.Ila kuhusu ushamba inategemea na mazingira ya msukuma mwenyewe.ikumbukwe pia wasukuma wako zaidi ya milion6 so wingi wetu unatufanya tuonekane maeneo mengi nchini.Kadharika kishule tuko vzr vichwani na pesa twazisaka kwa njia halali.Wasukuma saaaaaaafi.
 
Kama ni wasukuma wanyantuzu wana roho mbaya sana na ni wabinafsi sana nina ushahidi huo more thn 7 people
 
Wasukuma nawakubali kwa kupenda na kujali lakini kuna wengine sijui wana mchanganyiko wa culture au ndio wamjini au marafiki wanawabadili sometimes wanakuwa wanaudhi
 
wasukuma tuko vzr mkuu true love iko full.Ila kuhusu ushamba inategemea na mazingira ya msukuma mwenyewe.ikumbukwe pia wasukuma wako zaidi ya milion6 so wingi wetu unatufanya tuonekane maeneo mengi nchini.Kadharika kishule tuko vzr vichwani na pesa twazisaka kwa njia halali.Wasukuma saaaaaaafi.

Teh gabisa wala odenahobela ngosha
 
kuna watu wanatuita mazoba!!aaaaaaaaaaaaargggg,sio kwel we know how to handl en care a woman......nalemaga gete goyombwa sagala na bhanu bhadododoo.....kifupi tumekamilika mkubal mkatae hata pipe zetuu....wanajua dada zenu

Hehehe hata ukubwa,utamu wa pipe zetu wanajua dada Zhao,aiseeeeeee wabolaga gete ngosha
 
Habari wanajamvi,

Nadhani sisi wanaume wa Kisukuma ndo tunaongoza kwa kupenda na kujali wanawake zetu. Hii inachagiwa hasa kwa kuwa asili ya Wasukuma ni wakarimu sana, wapole, wanyenyekevu, waungwana na tunaojua kupenda kwa dhati.

Nadhani hata kwa wale dada zetu ambao wamewahi kutoka na Wasukuma watakuwa mashahidi wa hili.

Wanaume (Waha) wee hawa jamaa hawajui kumuacha mke hata itokee nini wao na wake zao, hawana tabia za kuacha wake hovyo.
 
Wanaume wa Kisukuma hamna jipya, kwanza mna wivu na akili za kimila na desturi sijaafiki mada yako kwa asilimia 100% pia nina uzoefu.

Mara nyingi mnagegenda watoto wa ndugu/shemeji.............Kwa mfano kama me nina binti niliyekuwa naye katika mahusiano na kuachana naye na ww Last emperor ni mwanaume..........mfano ni ndugu yangu wa tumbo............unamtongoza huyo binti ili uwe naye katika mahusiano.....na anakubali...sasa hamuoni kuwa hii ni haileti picha nzuri katika jamii inayowazunguka tena inayojua kuwa Kaka yako alitembea na huyo binti?
Mkuu mapengo sio wote wanatabia hiyo. Halaf kusifia kabila lako vitu positive sio vibaya, maana katika mazuri hayo kama ya ukarimu na upole wengine wanaiga. Sioni ubaya wowote wakuu
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu aliolewa na msukuma wakaishi chumba kimoja. Kwa kadri yaisha yalivyowanyookea ndivyo maisha ya ndoa yalivyoharibika. Bawna yule dharau majivuno vikawa havisemeki. Akakusanya ndugu zake kibao wamekaa tu kila kazi wanaacha maana kaka ana pesa. ni malimbukeni sana akipata pesa anataka ukoo wote umtambue, hata katika mazungumzo utasikia "fulani aaah pesa hana bure tu" basi na vile wanavyokaza sauti....
 
Back
Top Bottom