Recent content by kichakakichaka

  1. K

    Mishahara hewa yaizundua Serikali

    aanze na waziri muhusika kama ana ubavu isiwe kelele tu!!!!:llama:
  2. K

    Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    Huu ndo muda muhafaka wa kuwaona wazalendo wa kweli katika kupigania Taifa na wale wanaofuata masilahi tu!!!!
  3. K

    INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

    badala ya interahamwe ulitaka hawaite jina gani majizi hayo?????
  4. K

    Bavicha: Kikwete toka hadharani uliombe taifa radhi

    muharobaini waja subirini tu hata wajifanyao visiki watang'oka tu!
  5. K

    Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    unajua kuna watu wengine wengi sana hapa kwetu wamefumba macho, hata wakiambiwa fumbua macho kumeshakucha uone ukweli hataki...hivi kuna hasiyeona mambo ya ubadhilifu yanayotendeka wazi wazi humu nchini na kikundi cha watu wachache ambao wengine unakuta kila awamu ya serikali wamo tu ili kulinda...
  6. K

    Mapya yaibuka mbio za urais 2015

    EL ndo jembe hapa, mtafurukuta weee lkn kugombea rais lazima yumo tu tena kwa kijani hiyo2.........
  7. K

    Mbowe: Nipo tayari kufia angani

    asilimia kubwa ya amri za polisi uwa ni shinikizo la ccm hasa katika kulinda masilahi yao binafsi, polisi inatakiwa na wao wajiongeze sio kuburuzwa tu kupiga raia hata pale ambapo HAKI inaporwa
  8. K

    Ikulu yamtaka Askofu Kakobe aache porojo!

    ishu hapa ni kwamba wazungu waliwahishwa kuondoka nchini, walitakiwa kuwepo zaidi kiutawala kuweka mambo sawa maana UTAWALA ndo kikwazo kikubwa Africa
  9. K

    Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

    acheni kuweweseka wazee wa kijani, kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa kubali tu kwani lazima huyo dogo arithi nafasi ya babake..acheni kulazimisha utawala wa koo
  10. K

    NAPE na MWIGULU wakimbia kichapo cha ccm kalenga

    Tunataka haki itendeke, lakini sio itendeke tu kwa maneno, bali haki ionekane ikitendeka maana hawa mumiani wametuchosha na unyang'anyi wa wazi wazi kuiba kura za wanyonge
  11. K

    Wito kwa Bunge la Katiba: Kura iwe ya Siri kwasababu Hakuna aliyetumwa na Watu Kuwawakilisha!

    lazima kieleweke kuhusu kura ya siri majamaa mpaka yanatoa machozi kulilia kura ya wazi
  12. K

    Yajue Maeneo ya kanuni za Bunge ma ambayo CCM walikuwa wanayapigia Chapuo lakini wamedondokea Pua.

    kila sehemu haya majamaa ni kuchakachua tu ndo sera yao tu
  13. K

    Kwa kufanya hivi chadema tutashinda asubuhi sana kalenga na chalinze na 2015

    sahihi kabisa maandalizi ya awali na endelevu ni muhimu sana kukiimalisha chama na kudhibiti mbinu chafu upande wa pili
  14. K

    Wabunge wa CCM wakorofishana, sasa wasusia Vikao vya kichama

    wametuchosha wadondoke tu na wafilisiwe hadi mjukuu
  15. K

    CCM wachanganyikiwa na kuanza kuweweseka na helcopta ya CHADEMA Kalenga. Wameamua kukodi ya GGM

    Mungu kaweka rasilimali nchini ili kila mtanzania anufaike kwa usawa, wao wamegeuza mali za familia kwa utawala wa kifamilia kupasiana kijiti, Mungu ataanza kunyoosha mkono wake kwa kutetea wanyonge na nafsi zinazodhulumika!!!
Back
Top Bottom