Chopa za CHADEMA zina husiana vipi na uvunjifu wa amani,RPC-Iringa?

Chopa ni chombo cha usafiri kama gari tu na inapo ruka lazima ipite juu inahusiana vipi na kampen? Kama sisiem wangekua nayo na wao wangezuiwa? Hiyo ni hofu ya kushindwa.
 
Helkopta ni usafiri kama yalivyo magari na pikipiki tofauti ni speed na kurahisisha usafiri tu, binafsi sioni sababu ya kuwazuia chadema kutumia chopa yao. Mimi nashangaa polisi huwa wanakuwa makini sana kusimamia sehemu ambapo kuna maslahi ya ccm tu, mfano mikutano ya ccm hulindwa kwa ustadi mkubwa ila kwa chadema polisi huwa wanaenda kupiga mabomu na kuua watu tu.
 
Magamba ya najua hatari ya kushindwa Kalenga maana kimbunga hicho hakitawaacha kamwe, Lukosi atadhihirisha uchizi wake kutembea kwa Miguu toka London hadi kwao Kalenga
 
Kalenga. Polisi katika Mkoa wa Iringa,

Mungi alisema siku ya uchaguzi siyo siku ya
kampeni na kwamba polisi hawatakubali
kuona vitendo vya kampeni vikionekana
miongoni mwa wakazi wa Kalenga ikiwamo
helkopta kutumika katika jimbo hilo na watu
waliosafiri kutoka mikoa mbalimbali kwa
kisingizio cha kulinda kura.
"Sasa nataka niwaeleze kuwa sheria iko wazi.

Siku ya uchaguzi si siku ya kampeni. Hatutaki
kuona helkopta za vyama vyote
zenye
kuashiria kufanya kampeni. Kila kituo cha
kupigia kura kitakuwa na wakala wa chama
kinachoshiriki katika uchaguzi huo na hao
ndiyo wawakilishi wa chama hicho na walinzi
halali wa uchaguzi ni polisi"alisema Mungi na
kuongeza:
"Hatutaki kuona walinzi wa chama chochote
katika Jimbo la Kalenga
. Jukumu la kulinda
uchaguzi, maisha na mali ya wana Kalenga ni
la polisi, hatutaki kuona watu wasiokuwa na
shughuli maalumu wanapitapita katika
maeneo ya kupigia kura"alisema.

.

Hapo kwenye red, Huyo Kamanda Mungi aache unafiki, na awe muwazi kwa kusema hawataki kuiona Helkopta ya Chadema.

Na hapo kwenye blue ni dhahiri ccm imejipanga kuiba kura, na siku zote katika swala la uwizi wa kura ccm huogopa umakini wa ulizi wa makamanda.
 
Maccm na mapoliccm yanaanza kugwaya coz yanajua kesho aibu yao kalenga....
Hapana chezeya kamanda lema mzee wa kampeni nyumba mpaka nyumba kudadadekiiii
 
Kuna chopa inapita hapa naona kutakuwa kuna kampeni kabambe.
Polisi mna taarifa na hii kampeni au ni nec ndiyo wanatakiwa wawe na watoe taarifa??
 
acheni kuweweseka wazee wa kijani, kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa kubali tu kwani lazima huyo dogo arithi nafasi ya babake..acheni kulazimisha utawala wa koo
 
Kulinda kura ni lazima, polisi anatoa wapi mamlaka ya kuzuia usafiri wa aina Fulani kama sio kutumwa na CCM??? basi hata gari zitaleta kelele jimboni, zipigwe marufuku ili kila mtu atembee kwa miguu yake kabla haijagundulika hata miguu itapiga kelele
Hii nchi inazidi kuwa masikini kutokana na ukweli kwamba 80% ya wananchi ni wajinga na 20% ndio waelewa ila nao wanafiki sasa jiulize Mungi, lubuva, mkwawa na wapuuzi wenzenu nyinyi mko kundi lipi la wajinga ama wanafiki, mfikishieni hiyo. Inaudhi wajinga wachache wanapobaka sheria mbele ya jamii inayojiita imestaraabika bado wananchi wake wako kimya stupid Tz!!! Tz my assy
 
Siku ya kupiga kura inasafiri kuelekea wapi hiyo chopa naomba kujuzwa

Itakuwa inampeleka mbunge mtarajiwa kutoka kituo kimoja hadi kingine. Hata kama ni chakula kinaweza kupelekwa vituoni kwa njia hio. Uchaguzi 2010 mawakala wengilietewa chakula cha mchana saa 12 jioni kisa usafiri!
 
Wananchi watalinda kura na siyo uchaguzi kama Mungi alivyodai kuwa kulinda uchaguzi ni jambo la policcm. Sure nakwambia kamanda mungi kura zitalindwa tu,labda mtuue wote wafuasi wa CDM maana ndiyo na ninyi yupo MUNGU atawahukumu kwa wakati wake.
 
CDM LAZIMA KUPIGA hatua,kulalanika tu kuwa CCM wanaiba kura sio tija, KAENI MACHO HADI KURA ZIHESABIWE NA MATOKEO YATOKE, Kirumba Mwanza ilikuwa hivyo, Nyamagana, Ilemela, hata Arusha. SaSA LINDENI KURA
 
Hahahahaa. Ninavyowajua makamanda wa CDM chopa lazima iruke tu. Tuone hao mabwege wa polisiCCM watafanya nini? Akili za kutumwa bwana ni hasara kwa taifa letu.
 
Back
Top Bottom