NAPE na MWIGULU wakimbia kichapo cha ccm kalenga

CDM LAZIMA KULINDA KURA KWA NGUVU NA GHARAMA YOYOTE, vinginevyo ushindi mtauona tu unakwenda kwa wezi wa kura wa bara hili na karne hii.
 
Yule mama alishiriki uchaguzi tangu 2005 akiwa JAHAZI asilia, nakumbuka tulimpa support ila yalitokea yaliyo tokea, yuko experienced kwa kweli na majukwaa.

af kama vile wanasema taaluma yake ni mwalimu vile? au sikusikia vizuri...hivi kuna mwalimu anashindwa kujieleza kweli?
 
Namuombea dada grace tendega ili aibuke na ushindi wa kishindo!
Ee mola sikia maombi yangu,
amen!
Ccyem ni pango la watenda maovu nchini.
 
Utoto bwana, yaani viongozi wakuu wa CCM wakae Kalenga wakati hata viongozi wa nyumba kumi wanatosha kumaliza shughuri. cdm viongozi na wabunge wote kuanzia Mkiti Taifa wapo Kalenga kama si hofu wanatafuta wote nini huko? Tumewatuma Dodoma wanakimbilia Kalenga. Nyambafu


nadhani wameenda kunyang'anya jimbo.... na unyang'anyi wowote ule huwa unahitaji nguvu.
 
Akili za kiBAVICHA huwa zinaelewa kama ukizijibu kwa kuweka picha kwa sababu sera ya CHADEMA ni kujaza watu kwenye mikutano kwa njia yoyote ile, ndiyo maana walipoona watu wa Kalenga hawaendi kwenye mikutano yao, wakaamua kukopa helikopta angalau kukusanya hata watoto kwenye mikutano yao ya kampeni Kalenga.

Hiki kiwanda chenu cha BAVICHA ambacho kila dakika kinazalisha uwongo, majungu na ulaghai kuhusiana na uchaguzi Kalenga automatic baada ya kura kupigwa na wananchi wa Jimbo la Kalenga kitakosa malighafi na kufungwa.

Huu hapa chini ni mkutano uliofanyika leo katika kijiji cha Magulilwa, Kalenga.

1234276_231780753690827_32267043_n.jpg

Katibu Mkuu CCM Taifa (Kulia) Kanali Mstaafu Kinana na Naibu Katibu Mkuu CCM-Bara (Kushoto) Mh.Mwigulu Nchemba Wakimnadi Mgombea wa CCM Jimbo la Kalenga Ndugu Godfrey William Mgimwa(Katikati) hii leo Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Uliofanyika akatika Kijiji cha
Magulilwa.
1966867_617758154944679_1085149906_n.jpg

Kusho na Kulia ni Wagombea Wenza kwenye Kura za Maoni CCM wakati wa Kuchagua Mwana-CCm atakaye Gombea Ubunge jimbo la Kalenga.Wagombea Wenza hawa wamekuwa Bega Kwa Bega na Godfrey William Mgimwa kwenye Kampeni hizi ikionesha wazi CCM ni Wamoja.
1497484_617759211611240_409862970_n.jpg

1391675_617759441611217_83612017_n.jpg

Godfrey Mgimwa akihutubia umati wa wananchi wa Kijiji cha Magulilwa na dhima ya hotuba yake ilikuwa ni kuwaomba wananchi wamkopeshe imani ili aendelee kuwaletea maendeleo kupitia Ilani ya uchaguzi ya CCM.
Weka picha ya hadhira,mbona hakuna watu?
 
mwigulu nchemba alifata pesa iringa mjini akachota mil 90...

Hizi taarifa zimekuwa gumzo iringa mjini, kweli aibu kwa ccm mtahonga mpaka lini, mnakuwa madomo zege ni uboya wa hali ya juu, jengeni hoja na siyo kutapatapa kama bata
 
Mara Mseme Mwigulu ana Milioni 90 za kuhonga wana Kalenga, mara mseme kakimbia? Huku kutapatapa ni dalili tosha kuwa huko hamna chenu, anzeni kurudi makwenu, Mgimwa Jr Ndiyeeeee!!
 
Tunataka haki itendeke, lakini sio itendeke tu kwa maneno, bali haki ionekane ikitendeka maana hawa mumiani wametuchosha na unyang'anyi wa wazi wazi kuiba kura za wanyonge
 
he! basi itakuwa ndio hawa walionipita hapa ifunda.ujue kuna watu wawili wamenipita hapa kwa spidi sana kiasi kwamba skuweza kuwatambua, ila baada ya kuona huu uzi,nimegundua watakuwa ni nape na mwenzake.Watakuwa wameelekea makambako bila shaka.kwa walioko makambako tunaomba update please!

w
 
Utoto bwana, yaani viongozi wakuu wa CCM wakae Kalenga wakati hata viongozi wa nyumba kumi wanatosha kumaliza shughuri. cdm viongozi na wabunge wote kuanzia Mkiti Taifa wapo Kalenga kama si hofu wanatafuta wote nini huko? Tumewatuma Dodoma wanakimbilia Kalenga. Nyambafu
Hujui au ni umbumbu kwani hujui CCM yoote makao Makuu wapo Kalenga Kinana, Mangula, Mwigulu na Nape wamepotea leo. Wajumbe wa nec na Wenyeviti na makatibu wa mikoa mpaka wa Mtwara wapo Kalenga. Slaa na yupo Dar. Mbowe yupo Dom na wabunge wengine wote
 
Hicho unachokiona ni nini?.

Wewe niwa kuhurumiwa kwa sababu andiko lako linatoa angalizo la mtu anayehitaji msaada kifikra na kimtazamo.
Wapi wewe bwana! Wewe unalipalilia tumbo lako kupitia mgongo wa Mwigulu,endelea kumdanganya huyo gaidi ili ushibe...Moyoni unaikubali cdm.
 
Hizi taarifa zimekuwa gumzo iringa mjini, kweli aibu kwa ccm mtahonga mpaka lini, mnakuwa madomo zege ni uboya wa hali ya juu, jengeni hoja na siyo kutapatapa kama bata

Kweli mkuu kwa hali hii taifa litaweza kwenda kama ccm wanataraji rushwa kushinda? Ndiyo maana najilaumu saana watanza haswa humo vijini kuwa na akili kama za kuku,unamtimua anarudi kana kwamba hajapigwa pale pale awali.
 
Back
Top Bottom