Mbowe: Nipo tayari kufia angani

Mbowe: Nipo tayari kufia angani

kamuulize d.haifu alipoiga kuruka angani mwaka 2010 kwenye kampeni ile helikopta yake na ya salma zililipiwa na wale waliotoa suti au makampuni ya madini?

Sio kila kampeni lazima kutumia chopa, haya majuzi chaguzi za kata tu chopa!, leo kajimbo kamoja chopa!, je uchaguzi mkuu itakuwaje huko angani? Si tutahitaji trafiki wa chopa! Hongera kamanda wa ukweli Mpinga, zuia hao makamanda feki wenye magwanda ya kaki wasilete ajali bure!
 
Mbowe ni kati ya ajabu ajabu sana...

Amri ya polisi ni Amri halali.
Ujinga mzigo,

siku ukiambiwa na polisi umuachie chumba alale na mama totoo utamuachia kwa vile ni amri halali ya polisi.
 
Mbowe na LEMA wanahamasisha fujo halafu kikishwaka wao wanasevu.
Mbowe aache kabisa kuudanganya UMMA kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya wanakalenga!
 
Hayo mafuta yanayotumika kuruka pamoja fedha ya kuikodi hiyo helkopta yangeweza kununua madawa katika hospitali na vituo vyote vya afya kalenga nzima na hata mkoa mzima wa iringa

Ukiwapa dawa ndio watapona milele?, dawa ni CHADEMA kuingia madarakani ili kuwahudumia na kujinge misingi endelevu
 
asilimia kubwa ya amri za polisi uwa ni shinikizo la ccm hasa katika kulinda masilahi yao binafsi, polisi inatakiwa na wao wajiongeze sio kuburuzwa tu kupiga raia hata pale ambapo HAKI inaporwa
 
Mbowe ana Makengeza, na akili zake pia zina makengeza.
 
Ujinga mzigo,

siku ukiambiwa na polisi umuachie chumba alale na mama totoo utamuachia kwa vile ni amri halali ya polisi.

Feedback
Kama kuna sababu za msingi kama walizoelezwa Chadema nitamuachia.
 
Last edited by a moderator:
Mbowe na LEMA wanahamasisha fujo halafu kikishwaka wao wanasevu.
Mbowe aache kabisa kuudanganya UMMA kuwa yuko tayari kufa kwa ajili ya wanakalenga!

SIYO mbowe yuko tayari kufa kwa ajiri ya wana kalenga tu bali yuko tayari kufa kwa ajir ya wa tz akiwemo mama ako mzazi kama yu hai.
 
Back
Top Bottom