Huyu mwigulu ni mtafuta sifa tu hana lolote anachosema hao wapeleke accounts zao hazina kwani hawawezi pia kupeleka accounts hewa? Kuna Freelancer kibao wanalazimisha kufungua accounts kwenye bank zao kwahiyo ni possible kwa hao wapigaji kuwafungulia accounts wote hewa na kuendelea kupiga pesa,wewe mwigulu kama mmegundua wizi huo wa zaidi ya 40b kwa mishahara hewa basi hao wezi lazima wakamatwe wafilisiwe na wafungwe hatutaki porojo mara sijui nimepeleka takukuru oh nimepeleka polisi na bla bla kibao mbona yule aliyekwepa kodi zaidi ya 7b ulimuweka hewani?
Cc: Tema Mate
Mwigulu usilete comedy fanya kazi hatutaki porojo mbonqa yule mwenye kiwanda mlimkata? Iweje hawa ulete porojo?
Cc: Tema Mate
kwa akili yako unadhani akipelekewa acount ndiyo ataishia hapo tatizo hujamsikiliza unakukurupuka bawacha bana.[/QUOT
Ebu acha utani na kutafuta sifa: Naibu waziri anapaswa awakamate awapeleke mahakamani... ni wahujumu uchumi!!! Kuna polisi wa kutosha, kamata hao watu... ita waadishi wa habari wawapige picha kama waharifu wengine... umma uwaone... sharia ichukue mkondo wake...Tofauti na hapo tutasema hizo 40 bil wanagawana wengi.... akiwemo huyo mheshimiwa!!
Bro sisi wa TZ kuibiwa ni raisi sana, kAMa MWIGULU anasema tangu mwezi wa 7 wanalipa moja kwa moja kwenye akaunti na tayari wameokoa bilion40, wizara ya fedha ina hazina ndogo kila mkoa je wameshafatilia kujua taarifa ya ambao hawajapata mishahara tangu mwezi 7 ili wajue kila halmashaur ilikuwa inapokea kiasi gani cha mishahara hewa? na je kama waliweza kupata acount za wafanyakazi wote na wakawalipa mishahara kuanzia mwezi 7 inakuwaje washindwe kupata acount zingine chache zilizobakia hadi waombe wakurugenzi wawatumie wakati ndio watuhumiwa? wakitengeneza acount hewa atajuaje? usanii at work, mishahara hewa inaanzia TAMISEMI waanze GHASIA awaeleze aLichomeka wangapi, bila kumsahau KOMBANI nae atutajie wakwake alafu ndio waje kwa wakurugenzi HUU NI MTANDAO
Mafisiem kama wanataka kuzuia upotevu wa Pesa wachunguze kwanza Home Shoping Center wanavyosaidia wafanyabiashara kukwepa ushuru bandarini, Mandra Junior njoo hujibu hapa na fisiem yako
Wahaya wanasema "Better late than never"
Mrembo punguza hasira utakuja kuzeeka haraka hivi uwe nungayembe, hiyo mimi niliisikia kwenye harusi moja wapo am,bapo MC mmoja alisema hivyo hivyo nilivyo - quote.punguzeni sifa wahaya,! Huo msemo ni wa kihaya??
Huyo Jamaa ni noma yupo imara sana ana yard ya kufa mtu china ambapo wafanyabiashara wanaotaka kukwepa kodi ndio wanamtumia maana yeye anachaji kidogo sana! Mwigulu anza na huyu kama uwaziri haujaota mbawa!