Recent content by kibolibo

  1. K

    Hamisa Mobetto na Azizi Ki Dubai

    🥺🥺
  2. K

    Kwanini Jeshi imara kama Israel halina 4 stars General?

    Mwamba unatuuza aliyeshiriki ni al mahrum kakake Jonathan ' Yono ' Netanyahu....mwaka 1976 mission in Entebbe alikuwa military colonel wa Special forces ilipotekwa ndege ya Air France.. Benjamin'Bibi' Netanyahu ni mchumia tumbo kama wanasiasa wengine tu..ndo maana hata Benny Gantz alimpiga...
  3. K

    Aliyoyasema Amri Kiemba ni madai mazito na hatari kwa soka letu, yachunguzwe

    Chief..I concur na wewe..hapa kachomoa betri ,inabidi players wa zamani waje wanajielewawaje wakate wakate mpaka nyaya..kila tasnia sio footballl,hata boxing,athletics etc etchadi Olympic committee kuna uozo mwingi sana..
  4. K

    Yupi ni Mchezaji unayemkubali zaidi kutoka nchini Uholanzi?

    Yule mzungu alikuwa mfupi utafikiri mluguru wa Matombo..ila kalikuwa very energetic na speed...
  5. K

    Tukumbushane: Tuliowahi kuachwa na mabasi wakati wa safari

    Aisee wale wajuba hawakuwa poa kabisa,mimi nilifika kwenye check intable ndo kale kadada kanamalizia kutangaza kwenye PA almost 40 minutes ivi wakanikazia niliwasha moto mpaka nikapita bahati yangu nyuma kulikuwana bibi mmoja na binti yake mjamzito ila.. NILIFURAHI kashirika kao kufa ingawa...
  6. K

    Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

    kweli..nilishawahi kuposti humu nilikutana nao India,wananiuliza wewe mbona mweusi sana.. Dah,nilicheka afu nkawajibu mimi Muafrika,nkawauliza kwani nyie mnatoka wapi wapi ???wakajibu Ethipia.. Nilitikisa kichwa nikawaambia nyie ndio waafrika mnaoongoza kwa shida na kufa njaa hadi kila Food Aid...
  7. K

    Ethiopia inaenda kuvunjika kama Yugoslavia

    wako tayari kwenda frontlinesio kwa sababu wanampendasana Abiy.. NOOO!!wanaenda kusettle old scores,now it's the time...
  8. K

    Hili la siku ya wanaume duniani kuingiliana na siku ya maadhimisho ya Choo imekaaje?

    Aisee kweli kama hujui,ingia Google search huko India,hii kitu ni shida sana..
  9. K

    Wahamiaji haramu 49 kutoka Ethiopia wakamatwa Tanzania

    Wapumbavu sana ,nilikutana nao Airport tukaunga nao flight moja mpaka Bangalore wakati nasoma.. Nikapiga stori na kabinti kamoja,jamaa mmoja akaniuliza natoka nchi gani nkamwambia natoka ya watu wenye akili nyingi ukanada wa East Africa yote yotee.. Akaanza shoobo eti wewe mweusi sana unatoka...
  10. K

    Sheikh Ponda amehukumu kama alivyohukumu Don Veto Corleone

    mwanba Series zimechakachuliwa sana "too diluted and dramatized". Tafuta kitabu chenyewe,novel ya mzee Mario Puzzo ' The Godfather' utafurahi sana...
  11. K

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    wewe mtoto wa juzi tuu..le paritizano.le montana bella cioax2.. Plant a beatiful on my grave in the mount..let me live..as beautiful flower.. As the resistance goes on and on and on x2 ila ule wimbo ni kama Tanzania nakupenda kwa moyo wote au ule wimbo wa Mapinduzi Zanzibar.. Niliipenda ile...
  12. K

    Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Kaka,uliyoandika na kusema yote ni sahihi kabisa.. Science and its discoveries were mere humankind struggles to make life of mankind better.. Huyu mwanaume nilimsoma Secondary mpaka Uni kidogo ila he was pure genius and its all essence of ingenuity...hata Einstein alimkiri basi umbeya na wizi wa...
  13. K

    Serikali yakiri kudaiwa Shilingi Bilioni 105 na wakulima wakubwa wa Korosho

    Dadangu,waswahili walisema..ukionwa utupu,unachutama..sio lazima mwonaji aone vyote..Khaa!! nawe awee..anchi dachi...
  14. K

    Serikali yakiri kudaiwa Shilingi Bilioni 105 na wakulima wakubwa wa Korosho

    Dadangu,waswahili walisema..ukionwa utupu,unachutama..sio lazima mwonaji aone vyote..Khaa!! nawe awee..anchi dachi...
  15. K

    Eminem na Unyama aliomfanyia Jay Z kwenye Renagade

    Mi juzi nilimwambia my nephew hawa watoto wa siku hizi sijui Meek Mills,Drake et al ..kuimba hwajui kanibishia moaka mishopa ya uso na shingo ikamtoka.. I am mid 30s,basically ni generation ya kina Nas,Eminem,Jay Z,the Game,2 Pac et al..huwa napata burudani nikisikiza hawa wan..hawa watoto wa...
Back
Top Bottom