Huduma za kijamii ni mbaya sana. Bara bara hasa za mitaani ni mbovu kila sehemu ya nchi hii lkn tunaishia kuambiwa zinakusanywa pesa nyingi sana na uchimi unakua kwa kasi!!
Afungue kesi halafu wahanga wa hii sheria kandamizi tuwasilishe vielelezo vya kukataliwa kupewa mafao yetu ili vimsaidie kupambana nao. Akifungua kesi tu tujuzane wakuu
Nimeona nikituma sms kwenda tigo, airtel na halotel kuna code za +202, +205, +209 zikifuatiwa na namba ya mpokeaji wa sms kwenye delivery report. Mfano tigo inakuwa +2027130000 badala ya +2557130000 au airtel inakuwa +2057880000 badala ya +2557880000 au halotel inakuwa +2096220000 badala ya...
Asante kwa kuonesha jinsi gharama zinaweza kuwa. Hili bwawa litakuwa wazi tu kwa juu kwa vile maji yakijaa yataruhusiwa kuendelea kutiririka kwenda mashamba mengine. Lengo langu ni kulijengea kuta za pembeni na chini kuweka floor. Sasa wenye utaalamu huo na gharama ndiyo najaribu kupata maoni...
Habari wana jamvi.
Nalenga kuchimba na kujenga bwawa la kuvuna maji ya mvua shambani, sehemu ya bondeni ambapo maji ya mvua hupita, na kuyatumia kwenye kilimo cha umwagiliaji. Bwa litakuwa na upana wa mita 30, urefu mita 60 na kina cha mita 1.5. Nahitaji kujua angalau gharama ya kujenga bwawa la...
Hili ni janga kwa watu tunaotarajia kujiajiri baada ya kuweka vijisenti vyetu kwenye mfuko wa PPF. Hivi kwa wale tuliokataliwa kulipwa mafao yetu na PPF baada ya kutoka kwenye ajira hatuwezi kuanzisha umoja na kuanza mchakato wa kudai haki yetu mahakamani? Mimi sioni kama hii ni HAKI ukizingatia...
Uh, mimi nipo hapa kimara, dsm mitaa ya kuelekea bonyokwa, lkn network yao inasoma edge 'E'. Hii siyo mara ya kwanza naiona ila imekuwa hivyo tangu kitambo tu. Lakini nikiwa nje kidogo ya kimara network huwa ni H+ mara nyingi. Sasa sijui huku kimara kuna shida gani? Customer care tuambieni...
Inawezekana kuna sehemu pametokea mgongano wa ufafanuzi wa hii kodi kwenye miamala ya simu na bank...bank wanasema 18% itozwe kwa mtumiaji wa huduma, ambapo ndivyo inavyokuwa, tra wanasema itozwe kwa mtoa huduma kwenye zile gharama anazotozwa mteja na mtoa huduma. Nionavyo mimi mtozaji kodi...
Ni hatua nzuri na ya kizalendo...huwezi kuzungumzia kuwajibisha wakwepaji kodi wakati ww mwenyewe hujui machungu ya kukatwa kodi...huwezi kuhamasusha watu walipe kodi wakati ww hulipi...huwezi kutumia kodi ya wananchi eti kuwaletea maendeleo wakati ww huchangii chochote kwenye kapu la kuletea...
Ukiwa na mtazamo wa kichama kama wa kwako utadhani hivyo. Picha kubwa ni kwamba, bunge ni mkutano mkubwa wa watanzania wote, mwenyekiti/speaker wake lazima awasikilize watanzania wote wana fikra/mawazo gani juu ya mustakabali wa nchi yao bila kuzuiwa au kutishwa. Anayeweza kufanya hivyo ni yule...
1. Kwa vile wabunge wa kuteuliwa na Rais siyo wabunge wa kuchaguliwa na wananchi, wasiruhusiwe kugombea uongozi wowote wa kibunge
2. Wabunge wa kuteuliwa na Rais wapewe vyeo vya serikalini tu kama vile mawaziri au manaibu.
Lengo la hayo mawili ni kujenga uhuru wa kutosha kwa bunge na wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.