Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
Halotel kiboko yao. Kahama na viunga vyake wanakimbiza sijawahi ona. Tigo wako nyuma sana kwa kahama ila baadhi ya maeneo ya dsm hasa chuoni mlimani wako poa kidogo. Halotel oyee!