1. Kwa vile wabunge wa kuteuliwa na Rais siyo wabunge wa kuchaguliwa na wananchi, wasiruhusiwe kugombea uongozi wowote wa kibunge
2. Wabunge wa kuteuliwa na Rais wapewe vyeo vya serikalini tu kama vile mawaziri au manaibu.
Lengo la hayo mawili ni kujenga uhuru wa kutosha kwa bunge na wabunge kama chombo mahsusi cha kuwakilisha wananchi na kuisimamia serikali.
Maoni plz...