Recent content by Kibani

  1. K

    Achilli will kill his father and marry his mother

    hiki kitabu kimetafsiriwa ktk lugha yetu ya kiswahili kinaitwa Mfalme Edipode.
  2. K

    Elimu yetu inaendeshwa na Siasa tuzinduke, Kiswahili hakifai tuige mazuri ya Wenzetu

    ukisikia ukoloni ndio huu, mdau kumbuka kuwa lugha zote ni saw a, hakuna lugha iliyo bora kuzidi nyingine mradi inakidhi mawasiliano. Ni bora kujivunia lugha yako
  3. K

    Truth about Ebola

    teeeh cha kuomba isije tz wallah tutapukutika wote
  4. K

    Maudhui ya kitabu cha "animal farm" yanatimia katika bara la Afrika

    kitabu hicho kimetafsiriwa na Mr kawegere ktk lugha ya kiswahili kinaitwa SHAMBA LA WANYAMA ni riwaya nzuri sana kwa kweli. ingawa iliandikwa siku nyingi lkn maudhui yake yanasadifu hali ya sasa kwa nchi nyingi za kiafrika
  5. K

    Ripoti ya Ufisadi wa IPTL kukabidhiwa kwa Kikwete badala ya Pinda

    jamani tuwe watulivu jambo linashughulikiwa na mamlaka husika
  6. K

    Tb Joshua: Kuna ndege ilizunguka jengo mara nne

    siku za mwisho ndio hizi ilitabiriwa tangu zamani,
  7. K

    Je unaswali lolote la kumuuliza shetani...?

    shetani Mimi unanifahamu?
  8. K

    Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    Hawa jamaa ni ndugu john pamoja na wegesa. Nakumbuka nilisoma nao bulima sec iliyopo magu na walikuwa wamenitangulia mwaka mmoja
  9. K

    Tafsiri yake ....

    Mbona kama sehemu ya kiume ya mWANAMUME teh teh
  10. K

    Mapokezi ya Lema ni kesho ndani ya jiji la Arusha kuanzia KIA

    Kila la kheri waungwana pamoja wakuu
  11. K

    fundi makenikai

    daladala moja ilikuwa imejaa abiria.dada mmoja akawa amesimama.kaka mmoja akamuonea huruma akamwambia ampakate, binti akakubari na mazungumzo yao yakawa hivi: JAMAA.dada mbona mikono yako ni laini sana wewe ni sekretari? DADA. haujakosea mimi ni secretary na je wewe ni fundi makenika? JAMAA.kwa...
  12. K

    Futuhi kunani pale!!

    Habari wana jf.nauliza kama kuna mwenye details kuhusu walipo hawa waigizaji wa futuhi.Kafuku,Msukuma, Chiko.nilikuwa nawazimia sana kwenye vichekesho vyao.lakini kwa sasa hawaonekani tena startv.
  13. K

    Kasuku huyu nae!!

    Akinyanyua miguu yote atajivua gamba teteh teteh teteh
  14. K

    Wakati umefika

    suluhisho la ka ndoa haka ni lipi?50yrs ya uhuru bado tupo gizani?magamba's oyeeeee
  15. K

    Wakati umefika

    yaani kila nikikaa na kufikiria napata kizunguzungu hivi ****** na magambaz yake wanatupeleka wapi?
Back
Top Bottom