The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,606
- 119,844
eti shetan utakufa lini
Wewe unajua utakufa lini?
Mimi na wewe wote ni wa Mungu! Naye ndiye pekee ajuaue yaliyofichika
eti shetan utakufa lini
naskia walikutupaga chini ulvo taka madaraka yasio kuhusu huko juu ni kwel?
Una uhusiano gani na freemason
shetani Mimi unanifahamu?
shetan kwenye album yako eti unapicha ya mungu au hata nega naomba
shetani msalimie binti yako
ablum za nini ntaipunguza hiyo dushelele yako na ilivyo ka pipikifua!
Hivi wewe shetani ndo umewasaidia CCM kutaka kuvuruga mchakato wa katiba mpya?
hongera kwa kuwa na wafwasi wengi kuliko JAH..sasa eti we unaishi wapi coz panapo kusanyika wawili wa tatu kwa jina la Jah yupo jah...:wof:
Shetani bwana ako anaitwa nani?