Wakati umefika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakati umefika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kibani, Jun 24, 2011.

 1. K

  Kibani Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Wakati umefika sasa kwa viongozi waliyopayuka hapo awali kuwa hakutakuwepo na mgawo wa umeme tena.wajitokeze hadharani na kufuta kauli zao.YAANI WANAONGOZA UTAFIKIRI WAMEKATWA VICHWA aaghhh
   
 2. c

  chagga man New Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we unadhani hawakumbuki kwamba walisema hakutakua na mgao tena?ila sababu wao wanajua watanzania WAPOLE.tutawadanganya,wao,tutawaburuza,hadi wapate akili.TUPATE AKILI BASI KUWA TUMECHOKA KUDANGANYWA
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  hivi safari hii mbona hawakutangaza hadharani
  kama tutagawiwa umeme
  kwa mida ile ya jack bouer?aa(24) ASEE HII NJI IMEOZESHWA KABISAAA TENA KITU CHA MKEKA, KIMYAKIMYA
   
 4. K

  Kibani Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  yaani kila nikikaa na kufikiria napata kizunguzungu hivi ****** na magambaz yake wanatupeleka wapi?
   
 5. K

  Kibani Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  suluhisho la ka ndoa haka ni lipi?50yrs ya uhuru bado tupo gizani?magamba's oyeeeee
   
Loading...