unajua kuwa kila jambo ni mipango kama unaweza kujibana utafanikiwa maana co kila k2 uanze na pesa nyingi ila ni vizuri kama ukapata mtu ataye kuwa unamwagiza mzigo dar au hata mbeya kwa sehemu unaweza ila kama utasema utoke huko na uje dar utakuwa hujafanya kitu anzia kwanza kufanya mzunguko wa...
kaka linda sana mmoyo wako kuliko vyote ulindavyo na pia jua kuwa ulikula kiapo juu ya mke wako wa halali sasa hao wanaokuja hujui katoka wapi na anlengo gani na wewe hana hata aibu mwambiie shetani rudi nyuma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.