".. Tumeshajiandaa kukata RUFAA Arusha.."

".. Tumeshajiandaa kukata RUFAA Arusha.."

Kaka Manyerere nimeipenda hii.
Nimeshatoa sababu ya 7 hapo juu na sababu ya 8.CDM walikuwa wanaandikwa sana na vyombo vya habari kuliko vyama vingine...why..huwaii ..kwanini.Sababu ya 9.poliCCm hawakutumia mabomu ya machozi na kamatakamata kwa wafuasi na viongozi wa CDM!

CHADEMA wanahonga waandishi waandikwe wao.
 
Mimi naomba niwe shaidi wa magamba kwenye kesi namba 6........CDM ni wa kushtaki kabisa......wenzao waliwatukana kwa mdomo......kwa nini wasirudishe nao kwa mdomo.......kumtukana mwenzio kwa vitendo ni sawa na kuanika utupu wake hadharani.......hiyo haikubaliki hata rasimu ya katiba imesema.......matusi ya namna hiyo ni mabaya sana ni sawa na kunanihii kabisa kabisa......

Ha! Preta na wewe! ....sawa na kunanihii kabisa kabisa.... Ni ni tena? Funguka mkuu wangu!
 
Last edited by a moderator:
Ha! Preta na wewe! ....sawa na kunanihii kabisa kabisa.... Ni ni tena? Funguka mkuu wangu!

Wewe.......hivi unajua mimi ni shahidi wa hiyo kesi......? subiri nikishatoa ushahidi nitakuonyesha........
 
Last edited by a moderator:
Sina Mbavu
Zote za msingi
burudani sana
 
pia kuna ushahidi umeusahau mkuu MKWELItu, kwamba cdm walitishia kutumia kamera za kielektroniki kumonitor mwenendo wa uchaguzi kitu ambacho kilizuia kura zilizokwishapigwa na mobox yake kushindwa kuingizwa na kuhesabiwa.
 
7.Wamesababisha haya kutokea kwa miguu michemba na wafuasi wa shetani.
2.jpg



Unauliza majibu?Kwanza ktk taratibu zinazoeleweka wewe ulitakiwa ujitambulishe kwanza hasa ukizingatia huyu jamaa kawasaidia kuandaa hoja za rufaa.Tehetehetehe nimeipenda hii.

Huyu bkaka ccm atahakikisha inazikwa kichwa wakati miguu ikiachwa nje! safi sana kaka kusaidia kuizika ccm
 
Oyaaaah! mwenye huruma anirushie 500 ninunie kiroba.
 
Kuuliza si ujinga: HV hapa Mwigulu anapolia ni kwenye msiba wa waliopigwa mabomu Soweto au mwanachama wa Chama chetu adhimu cha Thithiem!?
 
Hii mbona burudani sana, mtashishitakiwa kwa kesu ya mauaji, maana kwa michango na sababu zinazotolewa hapa plus kichapo kilivyo kikubwa hakika wadau wa ccm wanaweza tenganinisha kichwa na kiwiliwili hivi hivi ama roho zao zikayeyuka ghafla na kuacha mwili pasipo taarifa rasmi.
 
Wanajamvi naomba kuuliza, wakati tunashughulikia haya mastaka....Je nyasi za msitu wa PANDE kwa ULIMBOKA zimeshakatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa????????????????????????? Wale jamaa wakiamua hata maiti hazitaonekana.
 
Tena yananunuliwa sana wakati sisi tukiandikwa magazeti yanadoda..

magazeti yakiwa na vichwa vya habari ya CCM hayauziki kabisa angalia mfano gazeti la Mwananchi
 
Kuuliza si ujinga: HV hapa Mwigulu anapolia ni kwenye msiba wa waliopigwa mabomu Soweto au mwanachama wa Chama chetu adhimu cha Thithiem!?

Jamaa anasikitika bomu lingine kashindwa kulipua. Litamlipukia yy huyu mngese
 
Achana na udiwani hata kubisha hodi ikulu hatuhitaji fatuma bali sponji inatosha
 
Wanajamvi naomba kuuliza, wakati tunashughulikia haya mastaka....Je nyasi za msitu wa PANDE kwa ULIMBOKA zimeshakatwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa????????????????????????? Wale jamaa wakiamua hata maiti hazitaonekana.

Shukuru mabwe ni karibu Na bongo, Kama situ likiondolewa Basi Mtu atapelekwa misitu ya huko Kisarawe ..
 
Back
Top Bottom