Kuondolewa Kwa Channel ya Emmanuel Tv Katika Kingamuzi cha Startime...

kwa nini munapata shida kujibu ukweli , kuna kadhehebu hapo Tanzania ambacho ndio MFUMO inaona waumini wake wengi wanalikimbia jengo lao na hivyo wanazidi kukosa sadaka maana waumini wao wote wanalikimbia hilo kanisa wanaamia kwa EMANUELI sisi yetu macho nyie tangeni tu eee mwisho wa elimu yenu ya juu ni uisilamu

Hilo nalo linawezekena,ila jamani ushauri wangu,wanunue ting au kingine chochote chenye hyo channel
 
Mwenzetu Jipange taratibu ununue kingamuzi cha Milan cable TV, achana na hiyo TBC ya Clement Mshana imechoka inaendeshwa kikomunisti.
 
Huna haja ya kuhangaika Emmanuel ipo free huna haja ya kulipia,mtafute fundi wa kufunga satelite dish na utaenjoy chanel kibao
 
Huna haja ya kuhangaika Emmanuel ipo free huna haja ya kulipia,mtafute fundi wa kufunga satelite dish na utaenjoy chanel kibao
 
Sisi huku Mikoani, hiyo TB Joshua tunaamka nayo, tunashinda nayo, tunalala nayo..hawa usalama wa Taifa wa huku mikoani hajui hii issue? au ipo kwenye ving'amuzi tu...shauri lenu
 
Iko wz sababu ya kuizuia hiyo TV.
Huyo TB si ndo alimtabiria EL kuwa Rais wa 5 wa Tz?
Hamuoni kuwa EL anaweza kuwa anaitumia kuutangaza utabiri huo kila siku via TV hiyo, kuaminisha waTZ kuwa yeye kuwa Rais ni kutimiza unabii?
Bila shaka wapinzani wa EL wasingekuwa tayari kuona hilo linatimia.
Ahaaa, Kumbeeee! Haya tunasubiri the next episode.
 
Kweli Tanzania Mungu atusaidie haya mambo ya udini yatatufikisha pabaya , miaka 5 tu mbele tusipoangalia tutakua pabaya sana. Tushirikiane kuleta amani jamani wana JF wote wa dini zote kila mtu a play his/her part popote pale ulipo. Maana watu wanaonekana wana jazba sana na wengine kama sio hizi screen zinazotuzuia wangekua wamesha zichapa!!! Just fikiri kdg kama vita vya udini vikianza tutakimbilia wapi? familia zetu, watoto. Haya mambo tunayaona kwenye tv ya kupigana tusipo kua makini yanatufikia sasa ivi, let us be very careful in handling these religious issues.
 
kwa nini munapata shida kujibu ukweli , kuna kadhehebu hapo Tanzania ambacho ndio MFUMO inaona waumini wake wengi wanalikimbia jengo lao na hivyo wanazidi kukosa sadaka maana waumini wao wote wanalikimbia hilo kanisa wanaamia kwa EMANUELI sisi yetu macho nyie tangeni tu eee mwisho wa elimu yenu ya juu ni uisilamu

Hilo nalo linawezekena,ila jamani ushauri wangu,wanunue ting au kingine chochote chenye hyo channel
 
Mbona zimeondolewa channel nyingi tu au kubadilishwa,
kuna nini so special hapo Emmanel TV?...
 
Porojo zingine wala hazina maana!! Emmanuel TV ziliondolewa pamoja na Star TV na ITV....je, ni hizi zingine (ITV na Star TV) order ya kuziondoa ilitoka wapi?! By the way, Star Times walishangaza kabla kwamba Emmanuel TV itawekwa kwa majaribio....so, kama wanaona bado baadhi ya mambo hayajakaa sawa waendelee tu kuionesha ili kukufurahisha wewe?! Nazani ningekuona upo objective endapo ungepigia kelele kipengele kibovu na cha kishenzi cha kuwa na mamlaka ya kutoa na kuingiza channel yoyote kwa kadri wanavyoona wao "without notice". Hiki ni kipengele kisichokubalika hata kidogo coz' people switch from one package to another kwa ajili ya kuifuata channel fulani, so inapotokea channel iliyokufanya ku-switch btn packages inaondolewa kiholela tu basi huo ni wizi na ni upumbavu usiovumulika.
 
Km ni hiyvo mbona TING wanayo hiyo channel? mimi nilipanga kununua startimes kwa ajili ya hiyo channell tu sasa wameondoa basi tena

Kwani Ting wanazo channel gani za Afrika Mashariki? Mi napendelea UBC na KBC je zipo katika Ting? Na Afrika Magharibi je mbali na hiyo Emmanuel TV je wanayo afrika magic pia?
 
Msisumbuane na hao mapoyoyo, nendeni Kariakoo nunua free satelite receiver na dish lake ukifunga unampata TB Joshua wa Emmanuel TV live bila chenga.Ukitaka maelezo zaidi niko tayari muda wowote.
 
Msisumbuane na hao mapoyoyo, nendeni Kariakoo nunua free satelite receiver na dish lake ukifunga unampata TB Joshua wa Emmanuel TV live bila chenga.Ukitaka maelezo zaidi niko tayari muda wowote.

Hivi ile HBO inapatikana kwenye hizi receiver?

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
haaa kwani hamjui, Edo ni muumini mkubwa wa TB Joshua? na tayari alimtabiria to be the coming Kiranja Mkuu! cha mustaajabisha ni kuwa tulipo kuwa tunaadhimisha sikukuu ya miaka 51 ya uhuru lilitumwa/lialiandaiwa tangazo la kututakia maadhimisho mema ya uhuru.... ilisemekekana kuwa Edo aishusika... na napata idea kuwa mpinzania wake amehusika kuondoa chanel hii isiagaliwe.... Labda
 
Msisumbuane na hao mapoyoyo, nendeni Kariakoo nunua free satelite receiver na dish lake ukifunga unampata TB Joshua wa Emmanuel TV live bila chenga.Ukitaka maelezo zaidi niko tayari muda wowote.

Mkuu numenunua as ulivyosema lakini napata local chanel pekeee! any advice!?
 
Back
Top Bottom