walioitwa kwenye usaili pccb (takukuru)

mdogo wangu kaomba assistant accounting officer kapelekwa investigation officer sasa hajielewi aende kwenye interview au apige chini mi nimemwambia nenda mbele kwa mbele
 
Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality.

Yaani kama ulikuwa kichwani mwangu, hata mimi nilikuwa nawaza hivi hivi. Yaani omba mungu upate hiyo kazi, ukikosa na Mwajiri wako awe alikuona kwenye list ya Amptitude Test plus udanganye unaumwa siku ya Amptitude Test sijui inakuwaje hapo.
 
Watanzania bado sana, this is supposed to be very confidencial. What if nina kazi sehemu nataka nichomoke kimyakimya nikipiga interview nikipata ndo nimjulishe mwajiri wangu? Can you imagine ajue kuwa nina intention ya kuondoka then nipigwe chini kwenye interview- si trust inaweza kuvunjika? Si atajua niko mguu nje mguu ndani siku zote? This is a serious breach of confidentiality.

...nahisi wewe utakuwa hujielewi na possibly haujui sheria za ajira, yaan kazi itangazwe publicly af iwe confidential issue tena, ungejua ukiwa ni muajiriwa na ukaomba kazi sehemu nyingine ni lazima uambatanishe info kutoka kwa muajiri wako. Don't be too selfish
 
Haha haha haha mshiriki namba 1266 kipengele cha office attendand.(2.2) anaitwa Mburahat primary school.
Hee na shule nayo iliapply kaz au??

1266
MBURAHAT PRIMARY SCHOOL
Ajabu na kweli. Ikiwa watu na majina yao ya vyeti wamekosa hata kuitwa interview ila Mburahati huyooooooo kaitwa na si ajabu akapita na tukawa na mtu anaeitwa jina hilo.
 
...nahisi wewe utakuwa hujielewi na possibly haujui sheria za ajira, yaan kazi itangazwe publicly af iwe confidential issue tena, ungejua ukiwa ni muajiriwa na ukaomba kazi sehemu nyingine ni lazima uambatanishe info kutoka kwa muajiri wako. Don't be too selfish

Utakua hujui chochote kuhusu privacy and confidentiality kaka, niombe nikupe shule.
 
Hao pccb mbona hata kazi yao siioni? hosp,mahakamani,polisi,tanesco,halmashauri,wizarani rushwa kwa kwenda mbele au wanachukuliwa ili wakabariki rushwa zaidi na wao wakila rushwa kuliko wote.

Wanakula tu pesa za serikali.
 
...nahisi wewe utakuwa hujielewi na possibly haujui sheria za ajira, yaan kazi itangazwe publicly af iwe confidential issue tena, ungejua ukiwa ni muajiriwa na ukaomba kazi sehemu nyingine ni lazima uambatanishe info kutoka kwa muajiri wako. Don't be too selfish

Hata ukifanya dhambi kwa siri, itakubidi uiungame kwa siri mbele ya Mungu wako: vivyo hivyo ukifanya dhambi hadharani, itakubidi uingume dhambi hiyo hadharani mbele ya watu na Mungu wako: Kwa hiyo kama kazi ilitangazwa hadharani ni sharti majina ya usaili yaweke hadharani, ikiwezekana hata matokeo yao yawekwe hadharani pia. Huu ndiyo uwazi na ukweli. Yeye aliyeomba kazi huku akiwa na kazi nyingine, mwajiri wake amtendee haki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom