Recent content by Kibajaji01

  1. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

    Sir Jeff kabla hajaenda X (twitter) alianzia huku jf uropokaji wake
  2. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo kwenye hili

    Hata sijui ni wapi huko
  3. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo kwenye hili

    Pamoja sana wakuu
  4. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo kwenye hili

    Kuhusu muda wa kulipa wote ni tarehe 30 ya mwezi
  5. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo kwenye hili

    Nasubiri ushauri wako mkuu
  6. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wa kimawazo kwenye hili

    Wakuu naombeni msaada wenu wa kimawazo kwenye hili. Mimi ni mwalimu wa physics na chemistry ila sijabahatika kupata ajira serikalini, sasa kuna shule mbili nafundisha let say shule X na shule Y. Shule X nalipwa laki tatu, wakati shule Y nalipwa 250,000/= Shida inapokuja shule Y wanao nilipa...
  7. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Real Madrid Vs Arsenal in UCL trophies
  8. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo upi wa Westlife, Celine Dion, Hauston ama Michael Jackson unaoupenda zaidi na kwa nini?

    Zama za arsenal zilishapita na wakati
  9. Kibajaji01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natuhumiwa kutembea na shemeji yangu sasa nimeamua kufanya kweli!

    Wanawake kuna kipindi linaakua kama ni pepo, mi wife kuna kipindi alikua ananishtumu natoka na binti flani ambae ni mfanya kazi mwenzangu na haikua kweli, ilikua tukitofautiana tu kidogo analeta habari za huyo binti, sasa mi nikaona isiwe shida nikapiga kweli yule demu. Cha ajabu baada ya...
  10. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha wasaidiwe kama kundi maalum

    Arsenal ni wasumbufu sana
  11. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tunao ijua arsenal tunaelewa haina madhara kwenye makombe, licha ya mashabiki wake kupiga nduru humu ila matokeo ya mwisho tunajua mnamaliza trophy less.
  12. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ladies n gentlemen, we have a new Mr 007 in town
  13. Kibajaji01

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sio timu ya kwanza kudhalilishwa, kuna wengine nao walisha wahi pigwa 8 hapo nyuma
Back
Top Bottom