Ukiondoa haya, hakuna usabato

Ukiondoa haya, hakuna usabato

Napenda sana kusikiliza mahubiri ya wasabato japo mi sio msabato, hawa watu mahubiri yao yamenyooka sana, hawana makelele kama wengine, mchungaji anahubiri utafikiri anatufokea, hivyo vitu mi ndio sivitakagi kabisa
 
Back
Top Bottom