Recent content by Kiatu1

  1. K

    Watu milioni moja laki mbili watakiwa kuhamia Canada

    Mkuu unazungumzia uzoefu katika upeo mdogo sana.Kutoka nje kuna faida sana unajifunza namna bora ya kufanya mambo. Toka kama una nafasi hutojuta wala kupoteza muda.
  2. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpaka hapa asiyegundua tatizo ni kocha basi tena. Ole hana mbinu hata umpe Messi,Ronaldo n.k
  3. K

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole anawapotezea muda tu.... Kila siku haeleweki anabuild timu ya aina gani..Msipombadilisha atawacost sana.
  4. K

    GE2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

    Tatizo la Tanzania wala sio hizo kodi,sijui VAT n.k. Tatizo ni mfumo wetu wa kufikia kiasi na namna ya kulipa. Kwanza, hujaanza hata biashara unalipa kodi. Yaani kodi inabidi uiweke kabla hata hujapata hiyo faida. Ukisajili kampuni tayari unalipa kodi. Pili,kodi zetu bado zipo kwenye...
  5. K

    BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Unaandika kama mpumbavu, Unafikiri watu hawajui taratibu unajua wewe tu. Transactions zimekua ngumu sana kwa sasa, wiki 2 unafuatilia muhamala wako.Ujinga mtupu.
  6. K

    BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Acha kabisa, nchi imekua ngumu sana kufanya biashara kwa sasa. Kila transaction maelezo, biashara zinakwama sana.
  7. K

    Watu wa bima Assesment wanachelewa sana, nifanyeje?

    Yale yale, anaomba msaada hata kukamilisha maelezo hawezi. Anajua sisi tulikuwepo wakati anagonga ukuta hadi gereji lilipo gari.
  8. K

    Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Hivi maadili ya kitanzania ni yapi hasa, ambayo hao wazungu hawana? Manake naona wenzetu wana maadili kuliko sisi, Sisi tuna uvivu mwingi, hatujali muda, wizi wizi tukipewa nafasi n.k Labda maadili ya kimaskini ndio tunayo.
  9. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tunacheza vizuri kipindi cha pili. Naona kama kuna goli
  10. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Man City inafungika vizuri tu,dakika za mwisho timu imeonyesha uhai
  11. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leo sijui tunacheza nini, so far possession 84 kwa 16.
  12. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ujinga mtupu... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hawa akina Luiz inatakiwa wawe Aston Villa wanamalizia mpira wao. Beki Mkongwe unafanya kosa la kijinga. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Muwe mnakataa pesa zao kwanza...Omba omba huna sauti kwa anayekusaidia. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Hiyo mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom