Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dakika tano za mwisho nimeona mwanga kipindi cha pili tukirudi hivi tutafanya cha maana.
 
timu yetu udhaifu wake mkubwa ni kushindwa kupata point 3 away kwenye big 6 games ,imagine last season against Tottenham Hotspur tulikuwa na ball possession almost 80 % then matokeo yakawa Tottenham 2 -1 Arsenal Full Time sijui nani katuloga tukiwa away vs big 6 ,kama mechi ya leo ni 50 kwa 50 ila usije kushangaa mwishoni mechi ikaisha vibaya

De bryune ni roho ya Manchester City kutokuwepo kwake ni bonge la advantage

Auba naye akaze matako sasa aanze kufunga magoli wenzake wanakimbizana kwa Magoli huko
Nta comment after Full Time whistle
 
Hela zinaharibu viwango vya waafrica sana, leo nimeamini. Pengine starehe nyingi
 
Back
Top Bottom