Kikosi kipo mkuu. Tuna kocha muoga kupitiliza. Hii timu apewe Marcelo Bielsa, utaipenda sans
Bob unajua kama Bielsa na kikosi chake wanacheza 4 1 4 1? Hivyo ni lazima watashambulia lakini kwakua hawana defense na wenyewe wanatunguliwa nyingi pia.Kikosi kipo mkuu. Tuna kocha muoga kupitiliza. Hii timu apewe Marcelo Bielsa, utaipenda sans
Timu ya ku level na city tunayo mkuu. Japo kocha kiukweli simuelewi kabisa.Bob unajua kama Bielsa na kikosi chake wanacheza 4 1 4 1? Hivyo ni lazima watashambulia lakini kwakua hawana defense na wenyewe wanatunguliwa nyingi pia.
Bielsa hajali anashambulia kila mechi. Its the reason hata akifungwa atahesabiwa alifight. Unlike Arsenal.
Auba kapigwa misumari aiseeHili jukwaa ukipita katikati ya wiki utasema hakuna team inayoweza kuifunga arsenal maana upangaji wa kikosi na mauchambuz ya hapa na pale utakubali ila ukija siku ya mechi kila mtu analalamika kuliko mwenzake
Hakuaga gabon????Auba kapigwa misumari aisee
Manchester city 1-0 Arsenal Full Time nlisema before Match startedtimu yetu udhaifu wake mkubwa ni kushindwa kupata point 3 away kwenye big 6 games ,imagine last season against Tottenham Hotspur tulikuwa na ball possession almost 80 % then matokeo yakawa Tottenham 2 -1 Arsenal Full Time sijui nani katuloga tukiwa away vs big 6 ,kama mechi ya leo ni 50 kwa 50 ila usije kushangaa mwishoni mechi ikaisha vibaya
De bryune ni roho ya Manchester City kutokuwepo kwake ni bonge la advantage
Auba naye akaze matako sasa aanze kufunga magoli wenzake wanakimbizana kwa Magoli huko
Hembu nitoleeni huyu Willian
Willian amezubaa sana


Kazi imeanza tulivosema tukaonekana waongo.Willian ni uchafu tuu