Hilo ni move...mtuhumiwa hapaswi kuwa na kitu chochote,ikiwemo mkanda,kifaa chenye ncha Kali na mengineyo....inawezekanaje kuwe na dekio Tena lenye uwezo wa uzima na uimara hivyo? Waache kutufanya wajinga
Ni ukweli usio pingika wkt yanga wanalalamika waamuzi Simba na wachambuzi wao wakukaa kimya na kuwabeza eti hawanakikosi....Leo mkuki kwa nguruwe na hasa nilitamka wazi mpira wa tz tff ndio anapanga Nani awe bingwa bila hivi yanga mwaka Jana wangetwaa ubingwa Ila walinyanyaswa Sana kwa Hy muwe...
Wanachama wa yanga kipindi wanalalamika kwamba tff na Simba wanapanga matokeo watu walikataa....mwaka Jana tu palepale namungo stadium walikataliwa yanga goli ambalo Simba wqlifungwa na kaiza chif kule kwa madiba.....wakasetiwa suluhu nyingi,yanga wakatamka wazi kuwa wangejitoa ligi hapo marefa...
Tatizo sio waziri tatizo ni mfumo mzima....jeshi la polisi limepewa meno ya kung'ata yeyote na kwa vyovyote aliye raia wa kawaida na mlengo wa nyuma.kipigo,kudhurumu,kubambikia,Sasa nchi za watu serikali imeandaa raia kujitambua hapa kwetu ukihoji tu kwa nn mnanikamata unapigwa wewe mmh.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.