Natafuta mtoto wa kulipia Ada form one kijijini

Natafuta mtoto wa kulipia Ada form one kijijini

Dah yupo lakin sasa shule za kata si hazilipiwi ada? Au nikuunganishe nae unataka kumsomesha Private school?
 
I love you for this.. I love you so much, Mungu akubariki.
 
Wanaosema kwenu unakoishi au unakotokea hakuna wahitaji? naona wana hoja zaidi kuliko wanaokupa hongera.

Halafu why saa NNE na nusu usiku? au ndio mashart ya mganga?

Kwa kwasisi wa Iringa tumgaya sida kaa na kilakimbili chako
 
Naomba nisomeshe mm nimemaliza darasa la Saba mwaka huu.
Nimemaliza Koromije S/M
 
Umeonesha Nia....tutakutafuta huku kijijini Hali ni mbaya hakuna ada Ila date,daftari,na baiskel maana shule ziko mbali na makazi nitakutafuta
 
Ukikosa humu nenda vituo vya watoto yatima utawapata. Na wale ndio sahihi zaidi kuwahudumia fadhila zake ni kubwa Inshaallah
 
Tulitahadhalishwa kuwa kwa vile hapa ni anonymous site, tuwe macho na ukarimu kama huu unaweza kukugharimu na watu wasiojulikana. Tutaaminije kuwa una nia njema kweli? If this is so , why hide true ID? Achana na haya ya ID fake jitambulishe watu wawe na imani kuwa huna madhara, watamiminika na kazi yako Mungu ataibariki.
Mbona unaishi kwa hofu?
 
Mbona wewe unakunywa bia zako hadharani? Au unaendesha Gari yako nzuri barabarani ? Si hela zako mkuu?
Mimi sijakuzuia kusaidia hao watoto wenye uhitaji mkuu. Nakutakia kila la heri. Wasiwasi wangu uko tu kwenye hiyo njia uliyo ichagua. Ya kutaka kupigiwa simu na Watanzania maskini kuanzia saa nne usiku!

Hivi sidhani kama umeweka na ukomo wa kupigiwa! Maana haijulikani ni kuanzia saa nne usiku mpaka saa ngapi! Na hujatuambia kwa siku utapokea simu za watu wangapi! Utaongea nao kwa muda gani, nk.
 
Back
Top Bottom