Recent content by khamis foum

  1. khamis foum

    Nawauliza wanaume tu tafadhali nijibuni

    Mm naona inategemea huyo mwanamke umemtongoza vp wangine hata kutongoza hawajui na vle vle kuna baadhi ya wanawake ni lazima kwanza afikirie hasa yule aliemgeni wa jambo kama hili na si changudoa
  2. khamis foum

    VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

    Jamani tunaomba mtujuze baina ya simba na kagera wengine tuko mbali
  3. khamis foum

    Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

    Inakuwa hausikiii maumivu yyte wakati wa tendo
  4. khamis foum

    Kwa Single Fathers

    Bc kama bado nicheki mm sijui nitakuwa bora kwako au laaaa?
  5. khamis foum

    Kwa Single Fathers

    Ushampata huyo mwanaume
  6. khamis foum

    Natafuta Boyfriend aliye serious

    Nipo nitafute
  7. khamis foum

    Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    Ngoja nikufanyie maarifa
  8. khamis foum

    Girlfriend is required

    Kiswahili
  9. khamis foum

    Girlfriend is required

    Lugha yetu ya taifa ndio ngao yetu
  10. khamis foum

    Nahitaji mwanamke 35+

    Nynyi hamna kuoa ni waharibifu muoaje hajisifu hata siku moja na kama unataka kuoa bc tafuta watu wazima kwanza watakutafutia mwanamke wa heshima sawa? Lkn sikuhizi hakuna mapenzi kwani vijana wa siku hzi kwanza mpaka waonjane kwanza ndoa baadae jamani tutafika kweli?
  11. khamis foum

    Napenda wanaume maarufu

    Hili tatizo linaweza kuondoka iwapo utaachana na tabia au dhana kama hyo kwani hakuna ugonjwa usiokuwa na dawa kwa hyo hilo jambo linaweza kuondoka cha kufanya kwanza ondoa mawazo hayo pili fikiria kwanza sawa?
  12. khamis foum

    Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

    Nafikiri hajapata matatizo huyu mwanamke kwani hata kama kakosea ila sio afanye kitendo kama hichi hata siku moja ila labda kapanda hasira na waswahili wanasema hasira hasara gebu tucheki siku za mbele
  13. khamis foum

    Nahitaji mwanamke 35+

    Wacheni uzinzi kama mnataka wanawake wa kuoa bc wekeni tangazo kwenye redio humu hamna mwanamke wa kudumu
  14. khamis foum

    Jamaa afumaniwa akiwa na mkewa wa jirani yake

    Mbona mnapenda kusema habari za uongo hata hiii picha haiyonyeshi wala haina iiwango kama hili jambo ni la kweli?
  15. khamis foum

    Nahitaji mume..

    Habari yako dada mambo vp sijui uko wp au unaishi wap mm ni muislaam kamili nimepokea kwa ufasaha tatizo lako sasa nitakupata vp ili tukae na kuongea hilo jambo mm niko znz sawa?
Back
Top Bottom