Vibaya kumnyima mtu kitu wakati unacho
Hakuna tatizo lolote!Ni mitazamo hasi waliyonayo baadhi ya watu.Eti wakina kaka msichana akitogozwa kwa Mara ya kwanza then akakubali then siku iyoiyo akaachia miguu na kutoa tunda eti kunatatizo? Maana naona hakuna haja ya Kubana akati kuna siku utaachia tu
hiyo ndo safi sana na anaonekana anajiamini n'a tam tam yake
JIULIZE KWANZA post yako haina stahatunda au ****??? kusumbuana ni ushamba mapenzi hayana formula nipe nikupe
ata wewe mshana jr ulivyo qoute post yangu huna staha ila mimi najua si kiungo cha mwili aya mwambie moods wanipe ban
Hapana si kazi yangu kuwachagulia mods nani wa kumpiga ban bali ilikuwa ni haki yangu kuongea kile nilichokiona hakiko sawa
Hata mimi niliingia JF kupitia MMU, kwakuwa hapo ni kama ubungo terminal kituo kikuu cha kupokea wageni
khaa.....mambo gani haya ...?...
Masikini....
Wanakwaya wa kwaya ya mtakatifu Juma...