Natafuta Boyfriend aliye serious

Natafuta Boyfriend aliye serious

kipindi unatongozwa unakataa unaleta maringo.hukujua kua umri utakimbia?? saivi una28 soon unaingiza 30 nani.akuoe nakitu kuna watoto wabichi 24…26 wamemaliza chuo ka ww tu na wanataka kuolewa.. embu pita hiv kua mjasiriamal tu uku jf hupat mtu
 
kipindi unatongozwa unakataa unaleta maringo.hukujua kua umri utakimbia?? saivi una28 soon unaingiza 30 nani.akuoe nakitu kuna watoto wabichi 24¡-26 wamemaliza chuo ka ww tu na wanataka kuolewa.. embu pita hiv kua mjasiriamal tu uku jf hupat mtu

hadi wewe usiye na hela hakupati?hapo ulipo huna demu kisa umaskini nadhan hata kikongwe kikijileta unakula tu
 
Do miakayako utapata MTU kwelii anyway usikatetamaa
 
weka picha kwanza nikuone alafu ndio nije kufanya mtihani

Sifa zote ninazo; mimi ni mrefu gentleman, black beauty, nina Advanced Degree, nina kazi nene, pia nina mke na mtoto kama upo tayari kuwa second hand ni PM.
 
kipindi unatongozwa unakataa unaleta maringo.hukujua kua umri utakimbia?? saivi una28 soon unaingiza 30 nani.akuoe nakitu kuna watoto wabichi 24…26 wamemaliza chuo ka ww tu na wanataka kuolewa.. embu pita hiv kua mjasiriamal tu uku jf hupat mtu

Huyo ataolewa na wazee kama sisi ila awe tayari kuwa mke wa pili kwa umri huo!! Kama atamaind assign contract
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom