Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
mbona una umri mdogo sana kufika hatua ya kutoa tangazo.
umekata tamaa mapema sana
Halaf mdogo wapi udogo wake unaujua ulipo!!baridi kalii mwache mwenzio atafute anachokitakaa
mbona una umri mdogo sana kufika hatua ya kutoa tangazo.
umekata tamaa mapema sana
Hahahhhahhahhaha toa basi hiyo kiwa halafu uweke Mugabe ili iendane na avatar yako!!!
Halaf mdogo wapi udogo wake unaujua ulipo!!baridi kalii mwache mwenzio atafute anachokitakaa
Sio mbaya anafaa ila awe tayari ku copy na mazingira ya din yangu.. Sio mguu ndan mguu nje
hapa unamaanisha atoke teamrafiki ama?
Mtoto Acha kuota, nenda kasome na fanyakazi .
Hicho unachotafuta ni kupoteza muda.
nahsi anamaanisha kuswali,kufunga na kufata yale yote anayoyata mungu ikiwa nipamoja na kuacha yale yasiompendeza mungu.samahani kwa kuyajibu haya.ila kama nimekosea atakuja kujibu
usijali... ila swali kwa Queen Horse, wanaume wa kiisilamu wanaruhusiwa kuoa wanawake wanne!!
je kwa masharti aliyoweka... hali hiyo ataichukuliaje?
Mimi hapa ninazo sifa zote unazozitaka. Ila ni mpenzi wa kula 0713 uko tayari.
Dada yangu mi sikubezi kwa hiki ulichokifanya ila mume mwema hatoki jf hutoka kwa bwana, humu yamejaa mafisi yakikunasa yatakulamba mpaka kamfupa ka kiuno ohoooo, cheka nao humu humu ujue unachat na majini, mazombi pia humu.
Huyu sio mwolewaji....pm hajibu anapewa namba hapigi cm, sasa tusemaje! Najuta kufunga na moyo wangu ah..!
Huyu sio mwolewaji....pm hajibu anapewa namba hapigi cm, sasa tusemaje! Najuta kufunga na moyo wangu ah..!
Vipi ulishampata? Kama bado twende PM.Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri
umeshakosa kigezo cha elim ya dini, coz muislam anaefata dini haswaa kwa namna ya kuifata hawezi kujaribu kutumia backdoorMimi hapa ninazo sifa zote unazozitaka. Ila ni mpenzi wa kula 0713 uko tayari.
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri