ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,427
- 118,970
Just look at my avatar, that's how I resemble......
Itume kwa inbox nione...
..hiyo avatar si umeiazima bana...!!
Just look at my avatar, that's how I resemble......
Nawezaje kuondokana na hyo hali
Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi,
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa katika mahusiano na mwanaume maarufu najisikia nipo salama sana hata kama hanisaidii chochote nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.
...what if akiwa anachangamsha genge!! Kuamini kila kinacholetwa huku ni hataree...
una akili yenye nguvu sana bado naunganisha matukio ila Huyu binti namfaham kwa sehem na nadhani ulichosema ni kweli#rejea movie ya salt asa sijui kama atafanikiwa nikimuangalia naona lengo linafeli wito kwa watanzania Hawa mabinti wa kitusi ni wengi sana kwa sasa Tanzania na baadhi wapo kuganga njaa na wengine kazi maalum hata ikitokea mmependana gonga acha usiuze nchi wengi hujiita wasukuma au wahaya lakini ni Watusi hapa chuoni ndio lundo sijui tufanyeje kuwazuia.Nilishakwambia wee mtusi umetumwa kazi maalum hapa tz ukagoma, unaona hapo penye red.
Na hao watu maarufu kama wanaingia humu wajionee wasikupe siri za nchi,tutaishia yale ya delila na samson.
Anachangamsha kwa faida ya nani maana sidhani kama kuna mtu anafurahia huu upuuzi
Itume kwa inbox nione...
..hiyo avatar si umeiazima bana...!!
Kasinde bana..ya nini Ni guess wakati waweza nipa real picture bhana!!Sasa inbox imekujaje, mie nimekwambia I resembe my avatar na sikuwa hiyo avatar ndo mie hapana nimefanana nayo kwa asilimia 80, hapo unaweza kupata taswira nafananaje. I know that avatar is not mine and is not me I just resemble it so no need of inboxiana looh just look at my avatar then u can guess my age.
hii hali imekutokea baada ya kuachana na yule mkurya ama ulikuwa nayo toka zamani?Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi,
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa katika mahusiano na mwanaume maarufu najisikia nipo salama sana hata kama hanisaidii chochote nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.
Wakuu heshima yenu
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi,
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa katika mahusiano na mwanaume maarufu najisikia nipo salama sana hata kama hanisaidii chochote nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatizo nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lakini hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo.
Kabla cjaachna nae ilkuwepo
fuata kitu roho yako inataka, ila we ni malaya usietulia na hutaweza kuishi milele na mwanaume wa kuja kukuoa