Recent content by khadijaa

  1. khadijaa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Hiyo sebule M 30 unajengea dhahabu?
  2. khadijaa

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnawezaji kuwa chawa?

    ,88,7,,,7,8,77,7,,,77g,
  3. khadijaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

    Umeongea ukweli mtupu, wanaume wengi siku hizi anapokuwa na mchepuko njee huwa haoni thamani ya mke aliyenaye ndani, anamdharay sana tena akiwa homeless ndo kabisaa, mwisho wa siku anaanza kumlaumu mara oh mjeuri na vijisababu kibao, najua kuna wanawake kwwli wana visirani lakini trust me...
  4. khadijaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukishamzalisha umuoe. Sasa mnawazalisha ili waolewe na nani?

    Sio single mothers wote wameachwa kwa sababu ya kubweteka, wapo wenye kazi zao na wapo single, hapo inabidi itungwe sheria kwamba hakuna kumuacha mtu uliezaa naye, kama umezaa naye ubaki naye hakuna kuacha[emoji23][emoji23]
  5. khadijaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sielewi nimwambie nini aamini kuwa nampenda kweli

    Umenena
  6. khadijaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoharibu ndoa zao(wachepukaji)

    Ni bora kuishi peke yako kuliko kuwa na mwanaume mwenye wanawake kila mtaaa, period
  7. khadijaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa namna hii hakufai asilani na wala Usipoteze muda wako juu yake

    And vise versal is true
  8. khadijaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

    mimi ni
  9. khadijaa

    JamiiForums Tanzania Nauza Eneo lenye nyumba, kisima cha mradi kwa bei nafuu

    Kweli hali ngumu jamani, Eneo zuri hivi hamtaki kununua nyie mamilionea wa JF
  10. khadijaa

    JamiiForums Tanzania Msaada dadangu anatafuta ajira

    Habari zenu. Nina dada yangu jamani huu mwaka wa 4 sasa hana kazi, ana shahada ya Mass communication ame specialized in public relation. Ameangaika kutafuta kazi sehemu tofauti mpaka leo hamna kitu. Jamani kama una connection huko msaada wako please.
  11. khadijaa

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

    Kuwa na adabu na uache dharau
  12. khadijaa

    JamiiForums Tanzania Nimechukia sana Simu za Samsung, bora TECNO tu

    Hii inauzwa bei gani?
Back
Top Bottom