Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,844
- 3,129
Mara nyingi mwanaume anapochoka kushauri na kero za kutosikilizwa nyumbani hutafuta namna ya kuiweka akili yake kuwa relaxed.nakushauri...jiangalie kwanza wewe....
kuna wapi unakosea? kama kayumba kiuchumi we ndio dawa, kama kagombana na watu dawa ipo kwako,kama hapendi nyumbani jini mbaya ni wewe....
mpende...muheshimu...msikilize na usisahau kama kuna kitu umefanya muombe msamaha...kama uliliwa hukujua atajua muombe msamaha,kama ni ulimloga kamzindue....
nimepita huko najua ninachoongea hakuna mtu mzima hajui anachofanya..kama upo nae karibu tatizo lisingekua pombe tatizo ungelijua..ndoa imekua ngumu maana upo mbali nae..
hamna mwanaume hajui anafanya nn..deep down kila kitu kiko organised.
wewe jiongeze...kama huelewi nicheki PM
Sinaga unafki..!
Asiyejua anaweza kutoa hukumu kwamba fulani amebadilika, lakini ukweli unabaki kuwa ameikatia tamaa familia yake. Anaona haimpi furaha kama mwanzo alivyotarajia.
Njia bora ninkurekebisha makosa, kutokumsema nje bali kumsikiliza na kumpa upendo.
Mheshimu naye atakusikiliza nankubadilika endapo tu ataona tatizo la mwanzo limeisha.