Hahahaaa...wote wameenda age lakini hawaoni ila linda ndo kiboko yaani huyu bibi simwelewagi Kabisa...wenzie wanaongezeka umri sambamba na busara na hekima ila yeye ni viceversa umri unaongezeka inversely propotion na hekima...hii ni laana kubwa kwa kweli
Sioni hata point ya kuwalinganisha...linda ni jimama zima ila kutwa kwenye mitandao kushindana na watoto na kutukana!!??linda na zari labda wanafanana umri na mambo yao ya kitoto japo linda kazidi sana..mtu una miaka zaidi ya 40 lkn akili ya teenager !!!!hatari sana
wadau naombeni anaefahamu chuo chochote kinachotoa mafunzo ya ufamasia au course za uuzaji wa maduka ya dawa
kwa dar au arusha anijulishe. asanteni sana
we nae umemkomalia mbowe hadi unatia aibu...tabia za kike hizo, wewe mwenyewe mzinzi tu so huna usafi wa kumnyooshea yeyote kidole tatua matatizo yako kwanza kuliko kukaa bze kuongelea mahusiano yasiyokuhusu.Mbowe kuwa mwenyekiti inakuuma sana ila ndo hivyo huna jinsi itabidi ukubali tu...
wadau tujuzane possible questions kwa nafasi ya investigation officer..kwa waliowahi kufanya tafadhali msaada unahitajika kwa ajili ya maandalizi.Asante
dah!uhai ni mungu anapanga ....unaweza kutangulia wewe chief...angalia unayoyazungumza kwako zito ni wa maana na wengine tunamuona wa kawaida sana na wala hafai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.