mikazó;8402842 said:Majesh gani mkuu?
umeuliza vitu viwili nadhani, ngo na tovuti (website). Kama mimi ndio kilaza, naomba ufafanuzi kidogo ili nimwage what i know.
nataka nijue inagharm kias gan kutengenezesha webste ni hlo tu
nataka nijue inagharm kias gan kutengenezesha webste ni hlo tu
nza kwanza kutengeneza blogspot. Ni bure
Ok nmekuelewa vzur xana kaka...xaxa naomba uniambie
nahyo unalpia kutengeneza ila navyojua n free xaxa
nielekeze tafunguaje?
Tembelea hapa umuulize huyu jamaa: https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/587273-kwa-wanaohitaji-kutengenezewa-blog-website.html
Ok nmekuelewa vzur xana kaka...xaxa naomba uniambie
nahyo unalpia kutengeneza ila navyojua n free xaxa
nielekeze tafunguaje?