Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ali kiba ana kipi cha kumfanya awe juu? Mi sioni sababu ya kumcompare Platnumz na mtu kama Ali kiba. Ali kiba ilikuwa enzi hizo napenda kula.., sijui kitu gani.. Lakini so sasa hivi hamna anachofanya kwenye game. Ukimzungumzia Diamond unamzungumzia best male intertainer in Tz miaka 800.

umenena...ifike hatua watu waache wivu na chuk hta kwa vitu vilivyo waz kama hv
 
hahaha,ongeen sana ila Unajua kwa nin ALLY K NI MKALI..
CHA KWA KU MAINTAIN KWENYE GAME TANGU 2005,kisha mpaka leo mnamshndansha na mtu wa 2009..

HAMNA ALBUM YA DIAMOND ILOUZA KAMA YA "ALLY KIBA-CINDERELA"..

MPAKA LEO ALLY KIBA NDO ANAONGOZA KWA KUPGA SHOW ULAYA,mwaka jana kapga show 11 nje,DIAMOND kapga 7..

KINACHOCHANGIA DIAMOND AONEKANE YUPO JUU NI SKENDO,ALLY K ANAJIHESHMU SANA,KATEMBEA NA LULU,WOLPER LAKN HAKUJTANGAZA OVYO..

POP IT IN,ALLY K 4 REAL,MCHIZ WA BONGO..JAMAA ANAJUA BWANA..AU MPAKA AANDKWE KWENYDD MAGAZET NDO MUMKUBAL.?
 
Kusema kweli sio Shabiki wa yoyote kati yao ila Diamond nyimbo zake zimeshiba tungo na mashairi mnyonge mnyongeni lakini... Domo ndo habari ya mujini
 
Domo kwa sasa ndio habari ya mjini,hamna msanii yeyote anae mgusa acha kumkaribia
 
hahaha,ongeen sana ila Unajua kwa nin ALLY K NI MKALI..
CHA KWA KU MAINTAIN KWENYE GAME TANGU 2005,kisha mpaka leo mnamshndansha na mtu wa 2009..

HAMNA ALBUM YA DIAMOND ILOUZA KAMA YA "ALLY KIBA-CINDERELA"..

MPAKA LEO ALLY KIBA NDO ANAONGOZA KWA KUPGA SHOW ULAYA,mwaka jana kapga show 11 nje,DIAMOND kapga 7..

KINACHOCHANGIA DIAMOND AONEKANE YUPO JUU NI SKENDO,ALLY K ANAJIHESHMU SANA,KATEMBEA NA LULU,WOLPER LAKN HAKUJTANGAZA OVYO..

POP IT IN,ALLY K 4 REAL,MCHIZ WA BONGO..JAMAA ANAJUA BWANA..AU MPAKA AANDKWE KWENYDD MAGAZET NDO MUMKUBAL.?

umesema???
ali k yuko kwenye gem toka 2005 na kapiga show 11 nje(ingawa hatujawai kuzskia)
then diamond ana miaka 3 tu kwa mwaka jna pekee show za nje 7..ha ha ha ushajipa jbu mwenyewe nan mkari
 
.
 
ally kiba zaidi kwa watu wanaoelewa mziki..
na diamond anaongoza kwenye magazeti ya udaku kwa skendo
 
Huyu huyu Diamond tena kuna tetesi kammwaga Kidoti na ana du mpya mtangazaji jna limentoka na ktuo anachofanyia kazi....
 
umesema???
ali k yuko kwenye gem toka 2005 na kapiga show 11 nje(ingawa hatujawai kuzskia)
then diamond ana miaka 3 tu kwa mwaka jna pekee show za nje 7..ha ha ha ushajipa jbu mwenyewe nan mkari
.

mwaka jana ally k kapga show 11 nje ya nch mpaka akashndwa kuwepo kwenye FIESTA,Sio lazma uckie kwa7b yeye co msanii wa magazet,kuna mfanyakaz m1 wa global publsheqz alkua anahojiwa kwenye mkas akaulzwa n msanii gan ambae wamepata tabu kufanya nae kaz dar live na hawajampata,akasema ally k coz kila mwez alikua anaenda nje..

au unataka nae aanzshe website ya kuweka pcha zake kila anapoenda kama diamond ndo ujue.?
 
[h=1]HEBU PITIA HAPA KENGE WE

Ali Kiba - Usiniseme[/h]
lebronz·250 videos
1,570 1,082,672
pixel-vfl3z5WfW.gif
879
pixel-vfl3z5WfW.gif
61

Uploaded on Aug 14, 2009
EastAfricanTube - East African Social Networking & Major Gateway in Media Sharing ~ Bongo Flava Video from Tanzania in East Africa, For More Videos Please Check Out EastAfricanTube

[h=4]Top Comments[/h]

[h=4] Video Responses [/h]

[h=4] All Comments (396) [/h] Sign in now to post a comment!

kila kitu khusu diamond ni best..kuanzia uvaaji wake..upangiriaji wa shows zake..tungo zake n.k ni tofaut sana na alivyokuwa ali k(maana siku hiz ni kama hayupo ametoa wimbo wa my everything bila shaka ni wachache tu wanaoufahamu
)
 
mwaka jana ally k kapga show 11 nje ya nch mpaka akashndwa kuwepo kwenye FIESTA,Sio lazma uckie kwa7b yeye co msanii wa magazet,kuna mfanyakaz m1 wa global publsheqz alkua anahojiwa kwenye mkas akaulzwa n msanii gan ambae wamepata tabu kufanya nae kaz dar live na hawajampata,akasema ally k coz kila mwez alikua anaenda nje..

au unataka nae aanzshe website ya kuweka pcha zake kila anapoenda kama diamond ndo ujue.?

msanii wa karne ya21 huna website!!!hata ki blog!!!!!!
 
Back
Top Bottom