Hivi itakuwaje siku Makonda akijunga na CHADEMA?

weka kwanza vyeti vyako hapa na wewe
Vikihitajika nitavileta, sasa yeye vimehitajika avileteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......................
Vyeti, vyeti, vyetiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............
 
Unajua sakata la vyeti linashupaliwa na watu wengi mno ambao wote hawana cheti cha fom 4 kabisa na darasa la 7 walirudia kwa jina linguine.Mtu ambaye yupo safi juu na alifanikiwa kila stage HANA MUDA MCHAFU.okay akitenguliwa akistaafu what next,itamuongezea nini mtu wa chini wa kawaida zaidi ya Unga kuanza kuzidi mtaani? Muache ushabiki na mahaba yasioitakia mema nchi
Acha longo longo
 
Vikihitajika nitavileta, sasa yeye vimehitajika avileteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.......................
Vyeti, vyeti, vyetiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............
unasema nani kavihitaji vyeti vyake, anahitaji kupata official letter kutoka kwa mwajili wake, huwezi kuanika tu vyeti vya mtu mtandaoni.
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?
Watajikomba tuu kwa kumpa nafasi ya kugombea Urais 2020, kwan hawana mtu wa kumsimamisha 2020
 
Nimependa andiko lako! vyeti kwanza mengine baadaye. Bashiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiite leta vyeeeeeeeeeeeeeeeeeetiiiiiiiiiiiiiiii
Hahaaaa, kwan nyie ni nani hadi make vyeti vyake...., kaja kuomba kazi kwenu.. ???, Haaaagh nyie wa wapi HV?????
 
Sawa sie sio kitu ila vyetiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bashite leta vyetiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...........................................................................
 
weka kwanza vyeti vyako hapa na wewe
Kwani vyangu vinahitajika? Bashite acha maneno leta vyetiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
By the way, lowasa huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda, lowasa ana historia ya pekee katika taifa jambao ambalo huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda ambaye anajulikana kwa watu wachache tu. Naamini chadema ni chama ambacho kinaangalia watu wenye influence kwenye chama na siyo kuleta watu ambao historia ya maisha yao ya kitaaluma hayaeleweki
Wewe kijana wewe!

Siasa ya Tanzania iangalie kwa jicho la tatu,Matukio yatakayotokea mbeleni hutokuja uamini.
 
Chadema haipokei vilaza uliza cv za wabunge na madiwani hiyo ndo tofauti ya ccm na chadema
 
Ninachompenda jpm ujipime ukiona tatizo ni wewe amua mwenyewe huko bandari mmoja alikimbia ofisi mwenyewe
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?
atapewa ugombea urais na mgombea mwenza Wema kwa vile baba yake na Wema alikuwa Muunguja Munyamwezi aliyeishi Zanzibar na kuzikwa Tabora
 
Watatuambia mbona hajashitakiwa mwenye ushahidi wa vyeti alete..wataenda mbali zaidi watatuambia kwenye siasa hakuna Rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu..na zaidi watasema hakuna vyeti feki vya kudumu wala vyeti halali vya kudumu..kina nape walikuwa wanamuonea donge makonda sababu ni jembe..kisha ataanza kuzungushwa nchi nzima huku sisi wanachadema tukimpigia deki na kumtandikia nguo apite..utakuwa pia msimu mdogo wa kuzungusha mikono..tutaweka uadui na yeyote atakayemsema makonda vibaya..sisi ndio upinzani bwana
Hahaaa..." Eti sisi ndio upinzani bhn" hamna linaloshindikana upinzani sio!
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?
Umesahau walivyomuandama wema alivyotaka ubjnge Singida! Leo hii Wema huyo huyo anatanua kwa hela zao anakula bata na Manyumbu wanashangilia tu, kwa hiyo sioni ajabu!
 
Back
Top Bottom