Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Lema: Tunahitaji waziri mkuu serious

Status
Not open for further replies.
Tunahekima, hatutaji majina usikute jina la mzazi wako likatajwa. utaendelea kuulizia, wakutajie na la shangazi na ukiendelea la dada zako??

mbona la joyce mukya limetajwa?kwani joyce hana ndugu?tatizo ushahidi hamna ni hisia na uzushi tu wa kipuuzi unaosambazwa na wapuuzi
 
nani alaumiwe kwa kuwa na serikali legelege PINDA AU JK mwenyewe??? maana hata kesho atatutajia jina la PINDA kama PM
 
Mjane wa Marehemu Mwangosi anadai rambi rambi zake mkuu.............. Laana ya kula rambi rambi za marehemu Mwangosi haitakuacha hivihivi

Mkuu! Kumbe na wewe upo miongoni mwa wanao komelea misumari kwenye vidonda! Poor Chris Lukosi, imekuwa mkosi!
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

wewee jamaa ni ------- sana wewe, you better keep your mouth shut than keep talking nonsense .....; honestly and strictly speaking....;
 
Lema yeye ana ujasiri gani wakati unabomolewa mlango wa nyuma?
 
Lema anaongea mawazo hakuna mtu muoga kama Lema nilimshangaa sana wakati alipokimbilia kwenye meza ya kiti moto akiogopa polisi, halafu anawaambia wenzake hakuna dhambi mbaya kama uoga.
 
Hilo la CCM sijui lilikua linaongea manini sasaa,halafu huyu Lemaa alikosa mifano mpaka atoe ya kufanya mapenzi na mama mkweee mbona mifano mingi tu ila kajitahidi japo sio saanaaa

Ngoja nikunong'oneze kidogo! Usimwambie mtu! Haka ka mh kakubwa kuliko wote ka Chadema kidume kweli, kilisambaratisha ndoa ya Mtoto wa mbunge wa chama chake jimbo moja huko Kilimanjaro, mkubwa akawa anakula mzigo, dogo akashtuka akaamua kumuacha huyo mke akaoa mwingine mdogo mdogo, nimekuambia wewe tu usimwambie mtu. CHADEMA OYEE!!
 
Hoja ni le ile, Nani alaumiwe kwa kuwa na serikali legelege PINDA AU JK mwenyewe??? maana hata kesho atatutajia jina la PINDA kama PM
 
Mh ila kusema utafanya kitu kabla hauna mamlaka ya kufanya hicho kitu ni rahisi sana? Ni kama vile mgombea anapo toa ahadi kemu kemu lakini akishapewa madaraka...Siasa bwana.
 
Kwa umakini wa CC ya Chadema very soon watamvua uanachama Lema!

weeee thubutu, kijana wa mtei na mbowe aguswe?! msaka tonge huyu kaingia chamani juzi tu kusaka fursa leo hii amekula ya mbuzi.............................
 
we nae umemkomalia mbowe hadi unatia aibu...tabia za kike hizo, wewe mwenyewe mzinzi tu so huna usafi wa kumnyooshea yeyote kidole tatua matatizo yako kwanza kuliko kukaa bze kuongelea mahusiano yasiyokuhusu.Mbowe kuwa mwenyekiti inakuuma sana ila ndo hivyo huna jinsi itabidi ukubali tu jamani.Pole sana lukosi
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
 
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole

KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

Mwenyekiti wako vipi uzinzi haumhusu nini, msitake kumuaibusha raisi wenu kwa ushabiki wa kijinga au unafikiri hatujui anayotafanya? Tumia ubingo ndugu kufikirua
 
Safi Sana Lema

kamanda unamsifia chizi, wakati anaropoka hayo alipaswa kukumbuka kwamba tuhuma dhidi ya mkuu anayemkingia kifua ndani ya chama (mbowe) bado ziko MOTO mjini, hivyo busara ilikuwa either kuvunga kwenye ishu hiyo au kuja kivingine kusudi wapinzani wao (maccm) washindwe namna ya ku-counter attack!!!!!
 
Asilimia kubwa ya kauli za Lema. Hazina kichwa wala mguu. Anataka PM afukuzwe, mbona yeye alipopatwa na ile kashfa ya MINI KABANG baada ya picha kuvuja hakufukuzwa?
 
Akiongea ITV jioni hii, Mbunge LEMA amesema kama pinda angekuwa CDM wangemvua UPM na Ubunge, pia wangemfikisha mahakamani kwa yale yaliyotokea kwenye operation kimbunga na tokomeza. Aidha Mawaziri wote wane angevuliwa hadi uanachama kwa fezeha walizofanyiwa wananchi.

Lema amesema CC ya CDM iko makini ktk kufanya maamuzi makubwa ya kuwaajibisha viongozi ndan ya CDM kwa makosa au shutuma zinazomkabiri.

Mtu au raia mmoja akiteswa rais achukkulie kama mmoja ktk familia yake ya damu ameteswa hivyo awe makini na serious kufatilia sualahilo.

Mtangazaji amembana mbunge OBAMA kuhusu CCM kushindwa kufukuza mafisadi, OBAMA kama waliyo wenzake ameshindwa kujibu anadai hata kijiji kinamafsadi, unaongelea wa kkijijn wakati swali ni la kitaifa??

Nawasilisha

NAMUUNGA MKONO PROPHET LEMA kwa ASILIMIA ZOTE .
 
Asilimia kubwa ya kauli za Lema. Hazina kichwa wala mguu. Anataka PM afukuzwe, mbona yeye alipopatwa na ile kashfa ya MINI KABANG baada ya picha kuvuja hakufukuzwa?

halafu ikawaje ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom