Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

kwa nini wandishi wa habari wanalipwa na chadema badala ya kulipwa na taasisi zao hapa utapata picha kwa nini wandishi huweza kuandika kwa matakwa ya watu binafsi.

mkuu hili ni tatizo. Ukiwaita waandishi wa habari kwenye tukio lako, kama hujatoa posho habari haitoki, hata ingekuwa muhimu kiasi gani. Nafikiri kitu pekee wanachoripoti bila posho ni ajali.
 
Mleta hoja angekuwa anajua maana halisi ya ufisadi angejiuliza msafara wa Kinana na Nape unakuwa na mashangingi na yanatumia mafuta kiasi gani na wanalipana posho kiasi gani! Msafara wa kinana una mashangingi si chini ya sita.

1. kinana

2. Nape

3. Asharose

4. Mkuu wa wilaya

5. Mkuu wa Polisi eneo husika

6. Mkuu wa Mkoa au Usalama wa eneo husika

7. Gari ya wanaccm (landcruiser) yale yaliyo nunuliwa na hela ya EPA.

Huku Nape analipwa posho ya safari shilingi 120000 wakati Kinana analipwa 180000 mara mbili na zaidi ya posho ya Dr Slaa achilia mbali mshahara wa sawa na waziri anao upata. hivi leo hii unaweza kuthubutu kusema kuwa ziara ya Dr ina ufisadi eti kwa kuwa posho yake na hadhi yake ni shilingi 80000?!

Mleta mada kama ana nia ya dhati ya kuongelea ufisadi kwenye nchi hii alitakiwa kuleta mada kama hizi.

Six donor countries
are demanding that the
government gives back more than
Sh600 million stolen by state
officials under the Local
Government Reform Programme
(LGRP). The Citizen on Sunday has
established that Sweden, Finland,
the Netherlands, Ireland, Japan
and Germany have jointly written
to the ministry of finance asking
for the refund.

In total, these countries donated 16
million euros (nearly Sh35bn) from
2009 to 2012 to fund the roll-out of
the second phase of the five-year
programme, which has a budget of
Sh66.6bn.

They say the money was pilfered
by corrupt government officials
charged with implementing LGRP
II. There was no immediate reaction
from the government. Finance
Minister William Mgimwa said he
was out of the country and unable
to comment.

Efforts to reach his permanent
secretary and senior staff at the
Prime Minister’s office were futile.
But the Finnish ministry for
Foreign Affairs and the Swedish
embassy in Dar es Salaam both
confirmed the development.
In a statement, Finland’s head of
the Unit for Eastern and Western
Africa, Ms Helena Airaksinen, said
her country was demanding 80,000
euros (Sh175 million) after a
special audit commissioned by the
donors.

According to a statement posted on
the ministry’s website, this was the
country’s contribution to the local
authorities transformation
programme.

“Payments to the support
programme have been suspended,”
Ms Airaksinen said, “and the whole
programme will be terminated
once the last investigations are
completed in 2014.”

Source: http://www.thecitizen.co.tz/News/Donors-demand-Sh644m-from-govt/-/1840392/2086214/-/6t414az/-/index.html
 
Wadau, nimefanikiwa kupata waraka wa ndani ya CHADEMA kutoka katika chanzo changu ndani ya Ofisi ya Katibu Mkuu. Amini usiamini, wakati ofisi za CHADEMA zikiwa katika hali mbaya, Dr Slaa anatumia shilingi laki tatu (300,000) kwa ajili tu ya kununulia betri za Megaphone. Pia mdau wangu amenitonya kuwa Dr Slaa AMELAZIMISHA ziara hiyo iwe ndefu kwa lengo tu la kujiongezea posho. Hii hapa ni summary ya waraka huo.

Ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, DK WILBROAD SLAA katika mikoa ya Singida, Shinyanga, Kigoma na Tabora ambayo ilitarajiwa kuanza tarehe 3 Desemba 2013 na kumalizika tarehe 23 Desemba 2013 inatarajiwa kugharibu shilingi Milioni 19,833,300/=. Gharama hizo ni pamoja na posho ya Dr Slaa (80,000 x siku 22 = TSH.1,760,000), posho kwa wana timu 7 (40,000 x siku 22 x watu 7 = TSH.6,160,000), mafuta kwa ajili ya magari 3 (lita 2071 x 2300 = TSH. 4,763,300), vikao vya ndani 19 (TSH. 1,900,000), posho ya waandishi wa habari na watangazaji wa ITV, Nipashe, Mwananchi, Star TV na Tanzania Daima (TSH. 4,550,000), matengenezo ya Gari la ALLAN (TSH. 730,000), Batery za Megaphone ya Katibu Mkuu (TSH 300,000) pamoja na Dharura na Uratibu (TSH. 450,000).

MAMBO YA KUZINGATIA
Katika ziara hiyo, Dk Slaa atazungumzia mambo yafuatayo;

  1. Mambo yaliyoibuliwa na CAG ambayo taarifa zake zitajadiliwa bungeni
  2. Ripoti ya CHC kuhusu ubinafsishaji wa makampuni
  3. Ripoti maalum ya uchunguzi wa Spika kuhusu posho za wabunge
  4. Posho ya Kamati Maalum za Bunge
  5. Harufu ya ufisadi kwenye mradi wa maji Singida

Kuhusu suala la usalama wakati wa ziara hiyo, imeelezwa kuwa kuna harufu imenuswa ya magenge ya wahuni kuandaliwa na wale marafiki zake ZZK walioko Usalama ili waanzishe vurugu. Kwamba wameandaliwa kwa silaha za moto, baridi na vimiminika (tindikali). Kwamba, wakitumia mwanya huu, haraka dola itasema tukio hilo ni sehemu ya mgogoro wa uongozi ndani ya CHADEMA kwamba kuna watu hawajafurahishwa na kitendo cha ZITTO kuondolewa madaraka. Mytake, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi mbalimbali wa CHADEMA ngazi ya mikoa na wilaya kuwa uongozi wa chama hicho makao makuu umekuwa ukiibua mbinu nyingi za kujipatia posho huku ofisi za mikoa na wilaya zikiwa hohehahe. Shilingi milioni 19 ambazo zitatumika wakati wa ziara hiyo zingeweza kuwa na manufaa zaidi kama zingeelekezwa kuimarisha chama badala ya kutumika kukagua uhai na uimara wa chama ambao Dk Slaa anajua kuwa chama bado hakijawa Imara. Aidha, kitendo cha CHADEMA kupindisha ukweli kuhusu hofu ya kutokea vurugu wakati wa ziara hiyo kwa madai kuwa eti Usalama ndo wameandaliwa kufanya fujo ni ulaghai mkubwa wa kisiasa. Sote tumeshuhudia jinsi ripoti ya Mkoa wa Kigoma ilivyotahadhalisha juu ya ziara hiyo kutokana na wafuasi wengi na wapenda demokrasia kupinga maamuzi ya CC ya CHADEMA yaliyowavua madaraka ZITTO KABWE, DR KITILA MKUMBO na SAMSON MWIGAMBA. Pia tumeshuhudia Dr Slaa akitahadhalishwa juu ya kukanyaga ardhi ya Mkoa wa Singida.

View attachment 125003View attachment 125004View attachment 125006View attachment 125007

Mkuu tuwaeleweje? Ivi kweli 80k unalalamika? Wakifanya ziara mnalalamika na Wasipo fanya ziara bado pia mnalalamika.Mnasema ziara hazidumu eg M4c...sasa mnataka nini?
 
Mbona gharama hizo ni halisia na za kawaida kabisa ? Kama wabaya wa Chadema mmetafuta ufisadi wa Chadema halafu unakuja na kitu ambacho kipo halisia kama hiki halafu ndio unaita ufisadi, hii inaonyesha ni jinsi gani Chadema kilivyo clean ! Mnasaidia kuitangaza Chadema vizuri bila kujijua !

Weka na gharama za Dentist na Nepi zilizo gusa maeneo yafuatayo@ magari, machangu wa UVCCM, wapambe, Guest House, kusafirishi nyara za taifa nk. Kisha linganisha na za Dr. Slaa.
 
Mleta hoja angekuwa anajua maana halisi ya ufisadi angejiuliza msafara wa Kinana na Nape unakuwa na mashangingi na yanatumia mafuta kiasi gani na wanalipana posho kiasi gani! Msafara wa kinana una mashangingi si chini ya sita.

1. kinana

2. Nape

3. Asharose

4. Mkuu wa wilaya

5. Mkuu wa Polisi eneo husika

6. Mkuu wa Mkoa au Usalama wa eneo husika

7. Gari ya wanaccm (landcruiser) yale yaliyo nunuliwa na hela ya EPA.

Huku Nape analipwa posho ya safari shilingi 120000 wakati Kinana analipwa 180000 mara mbili na zaidi ya posho ya Dr Slaa achilia mbali mshahara wa sawa na waziri anao upata. hivi leo hii unaweza kuthubutu kusema kuwa ziara ya Dr ina ufisadi eti kwa kuwa posho yake na hadhi yake ni shilingi 80000?!

Mleta mada kama ana nia ya dhati ya kuongelea ufisadi kwenye nchi hii alitakiwa kuleta mada kama hizi.

Six donor countries
are demanding that the
government gives back more than
Sh600 million stolen by state
officials under the Local
Government Reform Programme
(LGRP). The Citizen on Sunday has
established that Sweden, Finland,
the Netherlands, Ireland, Japan
and Germany have jointly written
to the ministry of finance asking
for the refund.

In total, these countries donated 16
million euros (nearly Sh35bn) from
2009 to 2012 to fund the roll-out of
the second phase of the five-year
programme, which has a budget of
Sh66.6bn.

They say the money was pilfered
by corrupt government officials
charged with implementing LGRP
II. There was no immediate reaction
from the government. Finance
Minister William Mgimwa said he
was out of the country and unable
to comment.

Efforts to reach his permanent
secretary and senior staff at the
Prime Minister's office were futile.
But the Finnish ministry for
Foreign Affairs and the Swedish
embassy in Dar es Salaam both
confirmed the development.
In a statement, Finland's head of
the Unit for Eastern and Western
Africa, Ms Helena Airaksinen, said
her country was demanding 80,000
euros (Sh175 million) after a
special audit commissioned by the
donors.

According to a statement posted on
the ministry's website, this was the
country's contribution to the local
authorities transformation
programme.

"Payments to the support
programme have been suspended,"
Ms Airaksinen said, "and the whole
programme will be terminated
once the last investigations are
completed in 2014."

Source: Donors want Dar to hand back stolen aid millions - National - thecitizen.co.tz
Hayo ni mawazo yako na hakuna wa kukupinga. Ila kumbuka hoja iliyopo mezani ni matumizi ya kifisadi ya Dr Slaa wakati wenzake wakijitolea kujenga chama kwa gharama zao, yeye anazidi kukkamua chama
 
Mkuu tuwaeleweje? Ivi kweli 80k unalalamika? Wakifanya ziara mnalalamika na Wasipo fanya ziara bado pia mnalalamika.Mnasema ziara hazidumu eg M4c...sasa mnataka nini?
Jamani, mbona mnaangalia elfu themanini tu? Mbona hamhoji shilingi laki tatu za kununulia betri za kipaza sauti cha babu? Mbona pia hamhoji fedha zilizoombewa kununulia matairi ya gari la Allan wakati gari hilo matairi?
 
Weka na gharama za Dentist na Nepi zilizo gusa maeneo yafuatayo@ magari, machangu wa UVCCM, wapambe, Guest House, kusafirishi nyara za taifa nk. Kisha linganisha na za Dr. Slaa.

khaaaaa! au unataka tuweke na gharama wanazotoa CHADEMA kugharamia ununuzi wa nepi?
 
Jamani, mbona mnaangalia elfu themanini tu? Mbona hamhoji shilingi laki tatu za kununulia betri za kipaza sauti cha babu? Mbona pia hamhoji fedha zilizoombewa kununulia matairi ya gari la Allan wakati gari hilo matairi?

Mkuu, achana nao hawa misukule. kwa vile wamekuwa misukule, hawaoni hata chembe ya ufisadi kwenye ziara hiyo. au kwa vile wamekaririshwa kuwa ufisadi sharti uhusishe mabilioni ya fedha
 
Tuambie unalipwa shilingi na CCM kwa kupika majungu dhidi ya chadema? Wewe na CCM yako acheni kulazimishia wananchi mawazo.
 
Wewe unalipwa shilingi ngapi na ccm kwa hii kazi yako ya kupika majungu dhidi ya chadema? CCM acheni kutulazimishia mawazo. Msitulazimishe kufikiri mnavyotaka nyie.
 
Mkuu, ZITTO KABWE alikuwa anatumia fedha yake mfukoni kujenga chama. Dr Slaa anatumia fedha ya chama kukagua chama. hii ni hatari kubwa sana. kumbe ndo maana wamemkalia kooni ZZK maana alikuwa anahatarisha mirija ya wenyewe

hizo pesa za mfukoni huyo zito alikua anatoa wapi??????shughulisha akili yako kidogo hayo ni matumizi ya kawaida sana
 
Mleta hoja angekuwa anajua maana halisi ya ufisadi angejiuliza msafara wa Kinana na Nape unakuwa na mashangingi na yanatumia mafuta kiasi gani na wanalipana posho kiasi gani! Msafara wa kinana una mashangingi si chini ya sita.

1. kinana

2. Nape

3. Asharose

4. Mkuu wa wilaya

5. Mkuu wa Polisi eneo husika

6. Mkuu wa Mkoa au Usalama wa eneo husika

7. Gari ya wanaccm (landcruiser) yale yaliyo nunuliwa na hela ya EPA.

Huku Nape analipwa posho ya safari shilingi 120000 wakati Kinana analipwa 180000 mara mbili na zaidi ya posho ya Dr Slaa achilia mbali mshahara wa sawa na waziri anao upata. hivi leo hii unaweza kuthubutu kusema kuwa ziara ya Dr ina ufisadi eti kwa kuwa posho yake na hadhi yake ni shilingi 80000?!

Mleta mada kama ana nia ya dhati ya kuongelea ufisadi kwenye nchi hii alitakiwa kuleta mada kama hizi.

Six donor countries
are demanding that the
government gives back more than
Sh600 million stolen by state
officials under the Local
Government Reform Programme
(LGRP). The Citizen on Sunday has
established that Sweden, Finland,
the Netherlands, Ireland, Japan
and Germany have jointly written
to the ministry of finance asking
for the refund.

In total, these countries donated 16
million euros (nearly Sh35bn) from
2009 to 2012 to fund the roll-out of
the second phase of the five-year
programme, which has a budget of
Sh66.6bn.

They say the money was pilfered
by corrupt government officials
charged with implementing LGRP
II. There was no immediate reaction
from the government. Finance
Minister William Mgimwa said he
was out of the country and unable
to comment.

Efforts to reach his permanent
secretary and senior staff at the
Prime Minister’s office were futile.
But the Finnish ministry for
Foreign Affairs and the Swedish
embassy in Dar es Salaam both
confirmed the development.
In a statement, Finland’s head of
the Unit for Eastern and Western
Africa, Ms Helena Airaksinen, said
her country was demanding 80,000
euros (Sh175 million) after a
special audit commissioned by the
donors.

According to a statement posted on
the ministry’s website, this was the
country’s contribution to the local
authorities transformation
programme.

“Payments to the support
programme have been suspended,”
Ms Airaksinen said, “and the whole
programme will be terminated
once the last investigations are
completed in 2014.”

Source: http://www.thecitizen.co.tz/News/Donors-demand-Sh644m-from-govt/-/1840392/2086214/-/6t414az/-/index.html[/QUO

Yani kama ni sindano imeingia mpaka kwenye mshipa mkuu wa damu ya mafisadi.....thanks mkuu....huyo jamaa alieleta hiyo vidocument aache ushamba na ufinyu wa aakili, hiyo per dm wanalipwa hata makarani wa halmashauri, kinachomshangaza ni nini, ajiulize huko kwao (CCM) wanajipangia tu posho bila hata vielelezo..
 
Hebu tumwagie data, Katibu wenu Mkuu anatumia shilling ngapi? pia mnazotumia kugawa kofia, khanga na kuwalipa wasanii kila muendako!!

Usisahau pia pesa zinazotumika kukodi malori ya kusomba watu!!

Tena mengine yanasomba kutoka Wilaya Moja kwenda Wilaya Nyingine na Kaposho ka mfukoni juu kwa wasombwaji kama ilivyokuwa ziara yao ya Mbeya full kichekesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom