Recent content by keyjey

  1. K

    JamiiForums Tanzania Pascal mayalla aachane na yafuatayo:-

    Yes hata mi nilimuelewa hivyo,alikuwa akiuliza si kwa kumaanisha kuwa cha Ulaya ni bora,ila alikuwa anajaribu kuonesha ile kasumba jamii iliyo nayo kwamba sisi hatuwezi kutengeneza bidhaa bora na bidhaa bora lazima iwe imetoka nje,hivyo alikuwa anataka tu wale aliokuwa akiwahoji wathibitishie...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nasikia kuna degree za "chupi"

    Nadhani hii ni mfululizo wa threads za kumdhalilisha mwanamke kama kawaida ya hapa JF. Yaani miaka mitatu/minne/mitano.Assigments,tests,mitihani ya term,finals,disertation vyote alale na malecturer ni Uongo...na masomo yenye malecturer wanawake ??
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    Unalipa kodi kubwa,gharama za maisha zinakuwa kuwa kubwa ili Mgulu Nchemba aweze kulipwa 10,000,000 na VX yake iwe na Mafuta.
  4. K

    JamiiForums Tanzania madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    Nadhani wewe ndio Pimbi na Unafikiri kwa Makalio,kwa sababu hamna dawa na vifaa ndio umuache hata huyu ambaye ungeweza kuokoa maisha yake afe.. Ni Ujinga wa hali ya juu huu.Wanaokufa sio kina kikwete wala mke wa Lusinde..,ni hawa watu wanao struggle kupata milo mitatu,ambao tayari ni wahanga wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    Pumba...wanaokufa wanahela uswiss??!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

    Sasa kwa nini wapinzani na nyie mnaweka nafasi za malaya..?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kurekebishana: Lema badilika

    CCM,Upinzani wote tatizo moja kuabudu vyama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania ..kwa mama rahel muhando...tbc

    Acha ajimwage,maisha yenyewe mafupi leo upo kesho haupo.
  9. K

    JamiiForums Tanzania madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    Madaktari walisoma ili wakawape maji...?wao warudi waendelee na njia mbadala wao wamesoma miaka 5-7 kwa sababu na sio kumuadhibu mlalahoi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    Wafanya usafi hawajagoma,hata hivyo madaktari wana roho ngumu huo ndio ukweli wanaokufa si mawaziri au wabunge ni wavuja jasho.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Halafu wanaokufa ni walewale walala hoi,sijui ukombozi gani huu mi sijawahi kuona,wa kumuadhibu mnyonge wa mwisho.
  12. K

    JamiiForums Tanzania madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    Wana roho ngumu hivi unalalaje huku unajua kuna mtu anakufa huko labda ungeokoa roho yake...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu

    Kuna watu wanaona vyama kama Miungu Watu..
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Mdaktari, Je ni Dhambi?

    Haya ni mambo ya Imani na kwa Imani yake huenda ndivyo anavyo amini.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Profession ya Nape haitusaidii kitu..
Back
Top Bottom