Wabunge wa CHADEMA kumpeleka Ulimboka India kwa matibabu

eee bana eee, mbona dhaifu hajakanyaga MOI kutoa pole kwa DR. Uli kama ilivyo kawaida yake, kulikoni this time?
 
Wanaomjali na kumpenda na kumwonea HURUMA Dr. Ulimboka sio CHADEMA peke yao - ni Watanzania wote wanaochukia vitendo vya kikatili dhidi ya binadamu wengine - yaani sijui nitaishije - SITAKI KUWAONA POLISI - KUSIKIA CHICHIEM - HOTUBA ZAO ETC.

Watu wakatili hivyo - hata Mungu amewaandalia TANURU LA MOTO - na MAVUNO YA UOVU WAO NI HAPA HAPA DUNIANI.

Jamani tuko tayari kumchangia Dr. wa watu - tuelewesheni tu - how to go about it.:A S cry::A S cry:
 
Hiyo ndio heading niliyotegemea kuona kwenye magazeti ya leo kwa sababu kwanza CHADEMA ni chama mbadala na wao hawana maneno mengi zaidi ya vitendo.

Hiyo milioni 90 zinazohitajika kumpeleka ulimboka India wabunge wa CHADEMA wanaweza sana kuzichanga. Mfano Freeman akitoa milioni 40, Slaa milioni 20, Zitto milioni 15, na zilizobaki zikatolewa na wengine kama akina Edwin Mtei na Ndesamburo naamini kuwa by juma 5 Dr Ulimboka angekuwa Apollo India anafanyiwa matibabu mpaka apone

Wakati huo huo wabunge waliobaki wa CHADEMA wanaweza kuchanga mpaka milini zingine 100 kwa ajili ya familia ya Dr Ulimboka.

Sasa inawezekana kuwa tayari CHAMA MBADALA cha CHADEMA kinafanya maamuzi ya mwisho juu ya jambo hili lakini kama kweli wakitekeleza hili bas naamini kuwa watakuwa wamejiwekea mazingira mazuri ya hapo baadae

Haya tena CHADEMA kazi kwenu!

Hans,

..CDM haipaswi kuingilia mgogoro kati ya serikali na madaktari.

..kama wabunge watamchangia Dr.Ulimboka basi wafanye hivyo in their personal capacity bila kuhusisha jina la chama.

..hata wabunge wa CCM,CUF,NCCR, nao wanaweza kumchangia. Dr.Ulimboka siyo mtu mgeni miongoni mwa wabunge haswa wale wajumbe wa kamati ya bunge inayosimamia sekta ya Afya.
 
Back
Top Bottom