Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

Kabla ya kikwete kulikuwa hakuna madaktar wa iran..hv hawajafika tu?
 
Uungwana unaanzia kwako,madaktari damu yao iwe ya ukombozi,yetu iwe ya kusahulika!kunya anye kuku,akinya bata kaharisha,hata raia ni watu

Halafu wanaokufa ni walewale walala hoi,sijui ukombozi gani huu mi sijawahi kuona,wa kumuadhibu mnyonge wa mwisho.
 
Halafu wanaokufa ni walewale walala hoi,sijui ukombozi gani huu mi sijawahi kuona,wa kumuadhibu mnyonge wa mwisho.

Serikal imetangaza vita sa kwenye vita wanaokufaga ni akina nani?
 
Dr Ulimboka's security shield
Saturday, 30 June 2012 09:21


By Frank Kimboy
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.

As his attackers remain at large, colleagues of Dr Stephen Ulimboka have taken charge of his security at the Muhimbili Orthopaedic Institute (MOI), where he is recuperating after a severe beating mid-this week.

The doctors have formed a six-man team that is treating and protecting Dr Ulimboka amid fears that his enemies might try to harm him as he regains strength in the Intensive Care Unit.

Only close relatives are allowed to visit, according to the chairman of the team, Prof Joseph Kahamba. The move is also aimed at keeping at bay a wave of visitors in order to give Dr Ulimboka time for a much-needed rest. Prof Kihamba declined to give further details.

A source who did not want to be named told this paper that Dr Ulimboka is being watched round the clock under the close supervision of his fellow doctors and nurses. "Only his known close relatives and loyal doctors and nurses can get near his bed," said the source. (Well done Doctors!! I am very proud of your efforts to protect Dr Ulimboka from his enemies)

Reporters and photographers who camped at MOI were blocked by civilian security guards and both entrance and exit doors were closed as activities at MOI plunged into paralysis. Those trying to get inside the institute had to endure an interrogation by the guards manning the entrance and the corridor leading to the ICU.

"We are under instruction not to let anyone in," said one of the guards at the main gate. "We are only allowed to let in patients who come to have their wounds dressed."

When pressed to reveal who gave the order, the guard responded that he was not the spokesperson of the institute. The spokesperson, Mr Juma Almas, did not respond to our calls.

Prof Kahamba, who heads the team that is treating Dr Ulimboka, told reporters he was now stable but the team would continue to keep an eye on him. "You know he has suffered brain concussion and pain in the chest, arms and legs so we will continue to pay close attention to him for as long as possible," he said.

In the meantime, patients gathered outside the hospital entrance, waiting for the next move in the doctors' strike. Patients who spoke to this paper condemned the situation and called on both parties in the dispute to settle their differences for the sake of wananchi.
"We heard that the government has directed us to go to private hospitals and the military hospitals," said an emotional Christina Daniel. "But how many of us, the poor, can afford the private hospitals bills?"

Ms Daniel also took exception to the government's instruction that the sick should go to military hospitals, arguing that those hospitals could not accommodate the large number of civilian patients.

"This is the heart of our national healthcare," Ms Daniel added. "Even patients from Lugalo military hospital get referred to Muhimbili National Hospital. If it falls, the entire health system goes down."

Meanwhile, the Tanzania National Nurses Association (TANNA) at Muhimbili has also challenged the government to find a lasting solution to the doctors' strike.

A statement released by the chairperson of TANNA at MOI, Ms Prisca Tarimo, said the strike has placed a huge burden on the shoulders of nurses and expressed fears that something would give if the situation was not addressed soon.

Last Wednesday morning, the country woke up to shocking news circulating in social media that Dr Ulimboka had been abducted and tortured.

Dr Ulimboka, who heads the doctors' interim committee that has been locked in a dispute with the government over pay and working conditions for several months, was abducted while with friends at Leaders' Club in Dar es Salaam. He was beaten up and left for dead by unknown people at Mabwepande forest on the outskirts of the city. He was eventually found by a passerby.

Who wanted Dr Ulimboka dead remains a mystery and police in Dar es Salaam have formed a probe team to dig deep into the matter.



 
Madaktari wamesema hospitali kuna vifaa duni ndo maana watu wanshindwa kupata huduma borra je wewe wataka madaktari wasidai vifaa ili watanzania tuendelee kufa?
 
"Twilumba umutwa kukanya atupyanile ni dzanangifu dzonda" (Tunamwomba Mungu mbinguni atusamehe na dhambi zetu zote)
 
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.


Dua yako mbaya kwa vile haina sababu haimpati ng'oo! Ikurudie wewe kifuani mwako mara mia na uzao wako wote. Kwa maandishi yako huko nyuma ulihimiza madakatari wapigwe kama vibaka, usidhani tumesahau.

Ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa wagonjwa nchini humu wanapata tiba (kanusha na hili). Mnapenda tu kupewa sifa kwa mambo mazuri yanapowashinda mnasingizia madaktari.

Hapa tena unazidi kutufumbua macho kuwa kumbe viongozi wa serikali wanapoenda kutibiwa nje ni kwa sababu hawawatetei Watanzania. Mbona hujawahi kuweka wazi wazo lako hilo lenye hekima mpaka umsubiri Ulimboka? Tena tumehakikisha sasa kuwa serikali haiwatetei Watanzania kwa sababu kwa maneno yako kama ingekuwa hivyo isingeweka mipango ya kuagiza madaktari kutoka nje kwa gharama kubwa badala ya kukaa chini na watoto wa Tanzania na kuwaboreshea maslahi na mazingira ya kazi yao adhimu. Serikali ya visasi hii na kukomoana ndiyo maana inashindwa. Haina dhamira ya kutatua matatizo ya Watanzania. Kwanza haijui matatizo kila kitu kwao kinaitwai kero tu!
 
Pamoja na mapungufu ya kibinadamu ila dokta ulimboka anahitaji maombi ya wapenda maendeleo wote mbona viongozi wa serikali wanaingia mikataba mibovu inayogharimu maisha yetu sote lakini tupo kimya kwa nini mbunge awekewe mazingira mazuri halafu dokta anayetibu watu asahaulike?
walompiga ulimboka wakianza kuwapiga waliosaini mikataba mibovu nami ntajiunga nao.
 
Kabla ya Kikwete mlikuwa mnaweza kufanya operation za moyo hapa Tanzania? kabla ya Kikwete mlikuwa mnazo hata mashine za kusafisha figo?

Tuambieni kabla na baada ya ujio wake, mafanikio ni makubwa sana kupita kiasi. Nyinyi mna agenda za siri lakini hujuma zenu za kuweka rehani maisha ya watu zitajulikana tu.

zomba alijengewa hosp ya moyo ndio akapeleka madactari kusomea sawa wakamaliza wakarudi,hamna vifaa ni jengo zuri wale madactari wamechukuliwa na nchi za nje kwan wewe unnaish mbinguni husikii watu bado wanaenda kufanyiwa upasuaji wa moyo nje?hujiulizi mbona hospitali ya moyo ipo lile ni gofu wewe kama ni fisadi unaona amefanya maendeleo to hell with him,ona huyo mkuu hapo juu anasema mke wake alifariki kwa kukosa nyuzi zakumshona after operation ,nyuzi? Huoni huo ni udhaifu mkubwa? Zomba ysiwe mshabiki wa kisiasa zaidi angalia reality ,well n fine kama wewe unatibiwa india!ila 2015 sio mbali utakosa chakusema jf
 
Last edited by a moderator:
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
Nyie vifaa si mnapeleka kwenye ile hospital ya msitu wa mabwepande ya kutoa kucha meno na roho za watu kwa kutumia hao madaktari wenu usalama wa taifa!!!!
 
What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?

Hili swali halina mantiki kabisa kwa watu wenye uwezo wa kufikiria kitaalam. Je ni wagonjwa wangapi wanaokufa kwa ajili tu Dr ameshindwa kufanya diagnosis because hana vifaa? Au unafikiri ukienda hospital ukakutana na Dr basi umeshapata tiba? Kuulizwa unaumwa nini ni kwa inamsaidia Dr kuelewa nikitu gani afanye ili upewe tiba sahihi. Kama hakuna vitendea kazi ni kazi bure better kubaki na waganga wa kienyeji tu. Wakubwa baada ya kugundua kuwa magonjwa hayawezi kutambulika bila vifaa wameamua wakimbilie huko huko kwenye vifaa. Think Critically msipotoshe wasiokuwa na shule nzuri.
 
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.

Haha pole sana. Yaani kitu kidogo unashindwa kujiuliza? Hili la kupelekwa nje ndo jamaa wanapigania wapewe vifaa vya kufanyia kazi. Kama zingekuwapo machines nani angeenda huko? Hujui ni kwanini magamba yameamua yasitibiwe nchini? Unaweza kutumia % kidogo ya ubongo kwa kujiuliza maswali mengi ya kwanini itokee? Nyie mnaotetea upuuzi wa serikali ndo mnafanya wananchi wengi wanakufa kwa kukosa huduma za msingi.
 
wote wanaolaumu madakatari kwa kugoma wanakosa point kubwa sana. Ni afadhali madakatari wamegoma unajua kuwa hakuna matibabu kuliko kwenda kwa dakatri ukitegemea matibabu halafu asikutibu kwa vile yuko bize kushughulikia misheni zake nyingine za kumpatia ugali wa siku na pesa za kumplipia mtoto wake kule academy.
 
@
Jackbauer
what is dr?nakupa hii, mikoa mingapi wakazi wake wamekutana na yanayofanana na ya ulimboka?madai ya drs ni kutekwa kwake?damu ya ulimboka si ya ukombozi,ni ya laana kwa watz?no comfirmed point about him,why gvnt?

Acha kuweweseka,ukweli unauma eeh!ss kazi ndo imeanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom