Recent content by Kevo

  1. Kevo

    JamiiForums Tanzania Tanzania licences first credit reference bureau

    Nitoe elimu fupi hapa on credit reference bureau mana the level of ignorance na ujuaji exhibited hapa ni appalling; Credit Reference Bureau zimeanzishwa maalum chini ya sheria ndogo ya The Bank of Tanzania (Credit Reference Bureau) Regulations,2012 ambayo vile vile imetokana na the Credit...
  2. Kevo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Professor Wambali hatunae tena duniani

    He was a fair man....He will surely be missed by many!
  3. Kevo

    JamiiForums Tanzania Beer Flood

    Hii picha ni ya Boston Molasses Disaster
  4. Kevo

    JamiiForums Tanzania "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    Nashindwa kuelewa kama kuna ANY CONNECTION KATI YA YALE YALIYOTOKEA IJUMAA MWANZA AMBAPO BWANA BUCHAFWE AFISA UHAMIAJI HUYU ALIPONUSURIKA KUUWA NA MAPOLISI AMBAO WALIKUWA WANAJULIKANA KABISA NA MTUHUMIWA HUYU...CHA AJABU BARLOW ALIPOULIZWA ALISEMA MAPOLISI WAKE WALIKUWA WAMEMCHANGANYA HUYU BWANA...
  5. Kevo

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

    Notable cases za aina hii Tanzania hivi sasa ni kama ile ya Advocate Mwale wa Arusha aliyekutwa na several billions in his account...Hii iliripotiwa sana magazetini..
  6. Kevo

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji fedha(Money laundering): Dhana iliyojificha kwa wengi!

    Kutakatisha fedha kimantiki ni kusafisha ela ambazo zimepatikana kwa njia chafu. Kitalaamu zaidi ni 'money laundering'. Fedha zinakuwa zimepatikana katika njia zisizo halali. Kwa mfano corruption, arms dealing, through prostitution rings ama hata kidnappings. Ela kama hizi zinafichwa kwenye...
  7. Kevo

    JamiiForums Tanzania Basel Accords

    Hello Wadau, Naomba msaada wa link ambayo naweza kupata the three Basel Accords. NImejaribu sana naishia kupata definitions au explanations za wikipedia. Kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana.
  8. Kevo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya declares war on Al Shabaab!

    Attack near Kenya-Somalia border 'kills four' Armed men have attacked a lorry near Kenya's border with Somalia, killing at least four people, reports say. The lorry was carrying school examination papers when it was attacked in Mandera district, reports say. Kenya blames Somalia's militant...
  9. Kevo

    JamiiForums Tanzania Daaah, Wale Vimwana WA Ghadafi?

    At least we have on less mad dog in Africa...
  10. Kevo

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

    Hahaha..Inaonekana kupigwa ban siku hizi humu ndani ni order of the day....
  11. Kevo

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete awashitaki Dr. Slaa, Mtikila

    Mwisho wake hautatofautiana na mwisho wa watoto wa ghadaffi
  12. Kevo

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

    kweli ridhiwani kaongee na mshua.... kajichokea huyu
  13. Kevo

    JamiiForums Tanzania Bastola ya Aden Rage na CCM

    I have see the photo it speaks volumes...this is no accident....he is tryna send a message...
  14. Kevo

    JamiiForums Tanzania Highest Paid Political Leaders in the World

    Mkuu Only,hata sifahamu.... naona Director ame-disclose amount ila source ya info yake labda adhibitishe mwenyewe!
  15. Kevo

    JamiiForums Tanzania Highest Paid Political Leaders in the World

    Ponsho nyingi...Nina rafiki yangu yuko seriaklini juzi hapa idara yao ilikuwa siku ya michezo...kwenda michezoni ni 20,000....kalipwa hapo hapo akaondoka hata aerobics hakufanya
Back
Top Bottom