hahaha mkuu mi naona ulichosema kina mashiko lakini pia hakina mashiko maana operation zote ambazo zipo vikosini waliingia mkataba wa miaka miwili na jkt kumbe mikataba yao ikiisha watarudi makwao na suala la vijana kuripot halitegemei waliopo vikosini kwani kila hawa wanamikataba yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.