Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafinga hii Baba, sema naona Ankali Magu katukazia Uzi, so ngoja tupambane na Issue nyingine Siku yoyote akifungua tuzame Kiumeni
Yaa la umuhimu kaza moyo mkuu jipe matumaini na usichezee afya yako kuna neema nadhani kati ya mwezi huu mwisho mwisho kwanza leo mh.raisi alikuwa na mkuu wa j.k.t nadhani kuna mipango mizuri wameongea!
 
Yeah Kaka, hii ninya Kuisahau kwa muda, Unapiga shughuli zako nyingine siku ya siku kikiwaka Fresh tunaamsha, ila kusema usikilizie unaeza pagawa
 
Haa baba baada ya siku kadhaa nilizoea kwanza nilijipa matumaini yataisha tuu kwanza nikukimbia na kuna mademu si ni aibu asee!!siku si nyingi mara kwiiiiiii kiapo!! Kama utani vile asee si utani jeshi bhana uvumilivu asikutishe mtu!!
Hahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Zumbwelaaaa eeeeh
Zumbwela mashuushuuuuuu
zumbwelaaaaaa



Zumbwela mamaaaaaa
Zumbwela mashuushuuuuu
Zumbwelaaaaaaa

Asiyependa jeshi letu atoroke
Atoroke saa nane za usiku


NILITAKAGA KUKATIMIA VIZURI HAKA KAWIMBO[emoji23]
 
2011 kambi fulani hivi, ikifika saa sita usiku chenja zikikolea nilikuwa naomba kwenda haja kila siku. Unaruhusiwa kwenda lakin unaacha vest na sweta ili barid likugonge vizuri usilale huko. Nilikuwa nalaaaaaaa hukoooo



Nilikuwa nataka ujingaaa[emoji13] [emoji13]
Hahahha safi huko ndio kujiongeza.

Isije kuwa mafinga tu hiyo.
 
Ila Sema Jamaa wameua Sana, walitakiwa watoe Updates za Mchakato wapi Umefikia, Kuacha hizi speculation mtaani kunawapa Fursa baadhi ya wahuni wachache kudanganya umma kuwa wanaweza waconnect wakaingia Jeshini.... Na Mbaya Zaidi inawaweka Wazalendo katika State of dilemma.
 
Kama hujui kitu kaaa kimya.

Madogo wamepewa MT namba tayari, hata walioenda juzi kutoka Mgulani wamepewa.

wewe usiseme sijui kitu, nipo ndani ya chombo muda mrefu sana...nachojiuliza unajua process ya mtu kupewa MT NO? Waache kutuaribia chombo mzee, eti wengine wameanza kupewa posho adi aibu
 
wewe usiseme sijui kitu, nipo ndani ya chombo muda mrefu sana...nachojiuliza unajua process ya mtu kupewa MT NO? Waache kutuaribia chombo mzee, eti wengine wameanza kupewa posho adi aibu
Baba, madogo wamekaaa uzalendo muda mrefu sana. Na hiiii sio mara ya kwanza watu kupewa MT namba before kuapa, kuna intake ya zaman pia nao jambo kma hili lilitokea.

Pia sio poaa kukaaa muda mrefu uzalendo. Acha madogo wapunguze stress
 
Baba, madogo wamekaaa uzalendo muda mrefu sana. Na hiiii sio mara ya kwanza watu kupewa MT namba before kuapa, kuna intake ya zaman pia nao jambo kma hili lilitokea.

Pia sio poaa kukaaa muda mrefu uzalendo. Acha madogo wapunguze stress
Safari iyoooo
 
Eti hawafi!!subirini intro ndo mtaelewa jeshi nini!!sisi kipindi tupo wazalendo tulikuwa tunabembelezwa hadi nikasema kumbe jeshi ni rahisi hivyo!!siku nikawa nawauliza hivi tunamaliza lini! Kumbe ngoma ndo baado mbichi tunatumikia uzalendo tuu!!haki ya mungu siku ya siku mzigo ulipoanza rasmi (intro) ***** kama sio vyeti vyangu mbona nilikuwa niwaachie jeshi lao!!!![emoji3] [emoji3]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom