Mtethalonike
Member
- Aug 24, 2016
- 6
- 5
Ukipita mwezi huu wa 11.
Hapa ni mpaka mwakani...
Hapa ni mpaka mwakani...
Wew piga kitabu jeshi tuachie tuliomaliza masomo kifupi mafunzo ya jeshi hawairishi kama chuo, utakapohitaji kuja jkt utaomba maombi upya na utafanyiwa usaili upya hakuna kitu kinaitwa nasitishaNaomben kufaham kwa tulioandikag barua kuahirish mafunzo,kwaajil ya Kingia chuo naweza kwenda kuripoti nlipo pangiwa au inakuwaje hapo?naomba mwenye kufaham anijuze ndugu zangu.
Ok nmekuelew mkuu ndio nipo mwak wa mwisho chuo sasa nikimaliz nataku kuingia jeshi mkuuWew piga kitabu jeshi tuachie tuliomaliza masomo kifupi mafunzo ya jeshi hawairishi kama chuo, utakapohitaji kuja jkt utaomba maombi upya na utafanyiwa usaili upya hakuna kitu kinaitwa nasitisha
Ukipita mwezi huu wa 11.
Hapa ni mpaka mwakani...
Mkuu una rohoo ngumu sana, intake yangu bado wanasota kule Oljoro Arusha hawajaanza kozi ya RTS kuanzia mwezi February wala hawajui nini kinaendelea ndo nyie watu walioko nyumbani mkapigishwe kwata kweli!
Mkuu umeongea point sana, hawa vijana kwenda jkt ni lazima wale waop kikwete waanze kupiga kozi za ajira ndipo kutatoa mwanya.
Kikubwa nikuwadundia wale waliopo vikosini wapungue kwanza kwakuchukuliwa na polisi, jw, magereza na vyombo vingine vyausalama na si vinginevyo.
Sasa wakati walipowaambia wajiandae kuondoka kabla hawajaaihirisha walikuwa hawajaliona hilo? Nafikiria kuna sababu zao muhimu ambazo wao wanazifahamu, hapa mnafanya ubashiri tuMkuu umeongea point sana, hawa vijana kwenda jkt ni lazima wale waop kikwete waanze kupiga kozi za ajira ndipo kutatoa mwanya.
Kikubwa nikuwadundia wale waliopo vikosini wapungue kwanza kwakuchukuliwa na polisi, jw, magereza na vyombo vingine vyausalama na si vinginevyo.
Sasa wakati walipowaambia wajiandae kuondoka kabla hawajaaihirisha walikuwa hawajaliona hilo? Nafikiria kuna sababu zao muhimu ambazo wao wanazifahamu, hapa mnafanya ubashiri tu
Mbona unani include mimi sio miongoni mwaoMkuu ilitegemewa kuwa nyie vijana wakujitolea mngeingia jakata na wale ndo wangeanza kozi.
hahaha mkuu mi naona ulichosema kina mashiko lakini pia hakina mashiko maana operation zote ambazo zipo vikosini waliingia mkataba wa miaka miwili na jkt kumbe mikataba yao ikiisha watarudi makwao na suala la vijana kuripot halitegemei waliopo vikosini kwani kila hawa wanamikataba yaoMkuu umeongea point sana, hawa vijana kwenda jkt ni lazima wale waop kikwete waanze kupiga kozi za ajira ndipo kutatoa mwanya.
Kikubwa nikuwadundia wale waliopo vikosini wapungue kwanza kwakuchukuliwa na polisi, jw, magereza na vyombo vingine vyausalama na si vinginevyo.
Mbona unani include mimi sio miongoni mwao
Sasa walipo wapigisha vijana usaili walikua wana maana gan? Nakumbuka kuna baadhi ya mikoa walikua washaingia vikosini kabisa na badae ndo wakarudshwa warudi makwao.. Je hao wa oljoro kpindi chote hcho hawa kuwepo?Mkuu una rohoo ngumu sana, intake yangu bado wanasota kule Oljoro Arusha hawajaanza kozi ya RTS kuanzia mwezi February wala hawajui nini kinaendelea ndo nyie watu walioko nyumbani mkapigishwe kwata kweli!
Hoja yako hujaifanyia upembuzi yakinifu.Mkuu una rohoo ngumu sana, intake yangu bado wanasota kule Oljoro Arusha hawajaanza kozi ya RTS kuanzia mwezi February wala hawajui nini kinaendelea ndo nyie watu walioko nyumbani mkapigishwe kwata kweli!
Hoja yako hujaifanyia upembuzi yakinifu.
Mwezi wa saba watu walikuwa waingie vikosini huku hao Orjoro wako vikosini tangu Feb.
Tena kuna vikosi walikuwa tayari wameripot wazalendo. Mf: 822 na 825.
Hoja ya kusema wazalendo walio Orjoro ndo wamezuia ni hoja nyepesi mnoooo, ambayo kwa wafuatiliaji wa mambo kwa kina hawawezi kuiweka katika list ya ucheleweshwaji wa kuingia jakata.
Mkuu nisome hapo juu poat no. 4057Sasa walipo wapigisha vijana usaili walikua wana maana gan? Nakumbuka kuna baadhi ya mikoa walikua washaingia vikosini kabisa na badae ndo wakarudshwa warudi makwao.. Je hao wa oljoro kpindi chote hcho hawa kuwepo?
Nafahamu, na wameshakula MT number kwa sasa. Kwa hiyo mpaka sasa wale tayari ni wanajeshi changamoto ni hawajapiga koz tu. Na pia inawezekana wakapelekwa vikosini wakafanye koz zingine kama level 3 na 2.Wale wa Oljoro siyo wazalendo bali waliingia jkt op miaka 50 ya muungano march 2014, feb 2016 wengi wao walienda kupiga kozi ya jw oljoro ndo wamedoda adi leo.
Sasa walipo wapigisha vijana usaili walikua wana maana gan? Nakumbuka kuna baadhi ya mikoa walikua washaingia vikosini kabisa na badae ndo wakarudshwa warudi makwao.. Je hao wa oljoro kpindi chote hcho hawa kuwepo?
Nafahamu, na wameshakula MT number kwa sasa. Kwa hiyo mpaka sasa wale tayari ni wanajeshi changamoto ni hawajapiga koz tu. Na pia inawezekana wakapelekwa vikosini wakafanye koz zingine kama level 3 na 2.
Yaani kaka acha tu, wanakaza mioyo kuukubali uhalisia.Mkuu una rohoo ngumu sana, intake yangu bado wanasota kule Oljoro Arusha hawajaanza kozi ya RTS kuanzia mwezi February wala hawajui nini kinaendelea ndo nyie watu walioko nyumbani mkapigishwe kwata kweli!