Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Recruitment training school (RTS)...pale Ni shule yakukufunza mambo ya kijeshi Ili uwe mjeshi kisha ndo uanze kozi za kijeshi kama infantry Na kozi nyingne za ujuzi baada ya kua mjeshi...ukifaulu pale RTS ndio unakua mjeshi rasm kwakiapo ambacho hakifutki had kufa...chini ya hapo huwez pga kozi za jeshi...huwez maliza jkt alaf ukapga level 2 lbd itolee special order kma niliyockia ya oljoro kua wao watapga level 3 vikosin kwao watakapopngiwa kma itakua kwel lkn
Ila nayo ni kozi maana ina syllabus
 
Jaman ijumaa iliyopita ndo ilikua cku ya mwisho ya kuandika vijana waliopitia jkt mgambo pamoja na wastaafu na wale waliofukyzwa jeshi jamab walionikosoa ckuandika vema sasa nimelekebisha
 
Sasa mkuu

Mkuu binafsi sijakuelewa kabisa unachotaka kutuambia, tuliza akili andika vitu vinavyoeleweka.

Anyway ngoja wadau walioelewa waje.
 
Jaman ijumaa iliyopita ndo ilikua cku ya mwisho ya kuandika vijana waliopitia jkt mgambo pamoja na wastaafu na wale waliofukyzwa jeshi jamab walionikosoa ckuandika vema sasa nimelekebisha
Mkuu ebu funguka vizuri tukuelewe
 
Jaman ijumaa iliyopita ndo ilikua cku ya mwisho ya kuandika vijana waliopitia jkt mgambo pamoja na wastaafu na wale waliofukyzwa jeshi jamab walionikosoa ckuandika vema sasa nimelekebisha
Dahhh!! Labda head yangu nzito kuelewa... Ila bora ile iliyopita nilijaribu kuelewa....
 
Back
Top Bottom